Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

Sijafuatilia, ila kwa haraka naweza sema huyo wa cc 2000 ndo jini, labda tungalie yafuatayo,

1) horse power anayozalisha at maximum rotation
2) fuel technology
Hapo rx 8 (cc 1300) ndio inakula zaidi kuliko Altezza ya (cc 2000) mkuu.

Nadhani kabla ya watu kua wanafikia conclusion ya gari ipi inakula wese kuliko nyingine inabidi kuangalia mambo mengi sana.

Maana kama hapo juu ni rotary engine vs piston engine.
 
PREMIO ndio tamu sana.. yana mimi naendesha kwa miaka 2 sasa.. lita moja 11kmna wakati fulan hadi 12km depend na Mood yangu.. huwa nikiwa nimekasirika natabia ya kuwa na mguu mzito sana..but nikiwa kwenye good mood.. mafuta yanaenda very slow.. naenda arusha frequently ba dodoma
 
Hapo rx 8 (cc 1300) ndio inakula zaidi kuliko Altezza ya (cc 2000) mkuu.

Nadhani kabla ya watu kua wanafikia conclusion ya gari ipi inakula wese kuliko nyingine inabidi kuangalia mambo mengi sana.

Maana kama hapo juu ni rotary engine vs piston engine.
Mkuu unazunguka sana,Please Argue based on standards na siyo aina za magari na HP as well as CC- Standards zinasemaje katika kusema gari fulani lina good fuel economy? Je,gari lenye good fuel economy linaenda km's ngapi per litre highway na urban? Haya nadhan ndo basic questions.
 
Kwa nini iwe hivyo? Wakati huyo wa cc 2000 anachoma mafuta mengi at a single stroke?
 
Cresta/Gx 110/Mark x/Brevis kuna watu zimewashinda hapa mjini,ukiwaambia majesta haili wese wanaweza kukutoa nduki [emoji2][emoji2][emoji2].
Shida ni ubahiri mkuu, watu wanataka vitu vizuri. Ila mkono birika, sio kwamba hawawezi zihudumia , ila hawataki
 
Hapo rx 8 (cc 1300) ndio inakula zaidi kuliko Altezza ya (cc 2000) mkuu.

Nadhani kabla ya watu kua wanafikia conclusion ya gari ipi inakula wese kuliko nyingine inabidi kuangalia mambo mengi sana.

Maana kama hapo juu ni rotary engine vs piston engine.
Hapa umenifungua akili.. mm sikuzote huwa nilikuwa naangaliaa neno CC baasi naangali number kubwa.. kumbe kuna issue ya Piston vs nini sijui.. duh..
 
Mkuu unazunguka sana,Please Argue based on standards na siyo aina za magari na HP as well as CC- Standards zinasemaje katika kusema gari fulani lina good fuel economy? Je,gari lenye good fuel economy linaenda km's ngapi per litre highway na urban? Haya nadhan ndo basic questions.
Standards?

Hebu nipe General rules za hizo standards unazosema.
 
Back
Top Bottom