Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Policy mpya zinazibana Account mpya ndio maana hizo account za zamani kabla ya 2023 zimekuwa dili sana kwa developer.Mbona kuna wimbi la watu JF kutaka kununua accounts za google play console? Hii malipo yake si $25 tu, au mnajaribu kukwepa new terms za google kwa akaunti mpya za google play console
Ukitaka kuweka app kwenye playstore ya google lazima kwanza ufungue account kwamba wewe ni developer na unahitaji kuweka app playstore.SItoki hapa hadi nielewe
KYC zinawabana sasa hivi. Wote wanaonunua account hao wana malengo ya kuweka malicious apps, yaani app za utapeli/wizi. Na muda si mrefu inakuwa banned. Kisha wanahitaji nyingine. Kwako muuzaji account ikiwa banned utakuja mbeleni kufungua nyingine nayo itakuwa banned ukifanya KYC. Kuuza account yako ni kitu sio cha kufanya.Mbona kuna wimbi la watu JF kutaka kununua accounts za google play console? Hii malipo yake si $25 tu, au mnajaribu kukwepa new terms za google kwa akaunti mpya za google play console
Nashukuru sana.Ukitaka kuweka app kwenye playstore ya google lazima kwanza ufungue account kwamba wewe ni developer na unahitaji kuweka app playstore.
gharama ni usd 25 tu utaweza apps zako humo.
sasa kuanzia mwaka jana google wamebadilisha policy ambazo zinaathiri account mpya kuweka apps playstore.
hizo policy haziathiri developer account za kuanzia october 2023 kurudi nyuma.
Ndio maana hizo account kwa sasa zinanunuliwa kwa bei kubwa.
sema inatakiwa iwe na sifa nzuri kama vile kutokuwa idadi ya suspended app, iwe na live app ambayo bado ipo playstore
uwe na codes ulizotumia kutengenezea hiyo live app.
Kwa uchache ndio hivyo.
kwa mwenye google console account jamani nanunua kwa offa nzuri tu kulingana na sifa za account yako
Tuwasiliane
0677 818283
Una uhakika gani ni za wizi hizo AppKYC zinawabana sasa hivi. Wote wanaonunua account hao wana malengo ya kuweka malicious apps, yaani app za utapeli/wizi. Na muda si mrefu inakuwa banned. Kisha wanahitaji nyingine. Kwako muuzaji account ikiwa banned utakuja mbeleni kufungua nyingine nayo itakuwa banned ukifanya KYC. Kuuza account yako ni kitu sio cha kufanya.
Kwa sababu zinaishia kufungiwa na akaunti kuwa banned.Una uhakika gani ni za wizi hizo App
Wewe una App? Kuna masharti mengi tangu mwaka 2023 google wameyaongeza ni swala la Dunia nzima hizo app kufungiwa sio wizi kama wewe unavyosemaKwa sababu zinaishia kufungiwa na akaunti kuwa banned.
Nimesoma tena ujumbe wangu wa mwanzo nilisema "Wote wanaonunua account hao wana malengo ya kuweka malicious apps..." naomba kurekebisha na kusema "WENGI wanaonunua account hao wana malengo ya kuweka malicious apps..." Hasa wanaonunua kwa bei ambazo ni too good to be true.Wewe una App? Kuna masharti mengi tangu mwaka 2023 google wameyaongeza ni swala la Dunia nzima hizo app kufungiwa sio wizi kama wewe unavyosema
Google wanamasharti makali sasa kwa sasa hivi hapo ukipoteza simu yako account yako ya Gmail hutoipata tena sijui kama unalijua