Nahitaji Google Playstore account

Nahitaji Google Playstore account

sisco23

Member
Joined
Oct 28, 2018
Posts
10
Reaction score
4
Wakuu mambo vipi nahitaji google play console mwenye nayo tuwasiliane pesa ipo nichek kwa namba 0767893175
 
Google playstore account?
Sio account ya Google ambayo inakua imeunganishwa na vyote ivyo. Gmail, Playstore, Notes, Chrome nk.
 
Toa maelezo vizuri account ya AdSense au ya playstore
 
Mbona kuna wimbi la watu JF kutaka kununua accounts za google play console? Hii malipo yake si $25 tu, au mnajaribu kukwepa new terms za google kwa akaunti mpya za google play console
 
Policy mpya zinazibana Account mpya ndio maana hizo account za zamani kabla ya 2023 zimekuwa dili sana kwa developer.

Hata mimi nanunua kutokana na sifa ya account

Mwenye nayo anitafute nimpe offa
0677 818283
 
SItoki hapa hadi nielewe
Ukitaka kuweka app kwenye playstore ya google lazima kwanza ufungue account kwamba wewe ni developer na unahitaji kuweka app playstore.

gharama ni usd 25 tu utaweza apps zako humo.

sasa kuanzia mwaka jana google wamebadilisha policy ambazo zinaathiri account mpya kuweka apps playstore.

hizo policy haziathiri developer account za kuanzia october 2023 kurudi nyuma.

Ndio maana hizo account kwa sasa zinanunuliwa kwa bei kubwa.

sema inatakiwa iwe na sifa nzuri kama vile kutokuwa idadi ya suspended app, iwe na live app ambayo bado ipo playstore
uwe na codes ulizotumia kutengenezea hiyo live app.

Kwa uchache ndio hivyo.

kwa mwenye google console account jamani nanunua kwa offa nzuri tu kulingana na sifa za account yako

Tuwasiliane
0677 818283
 
Mbona kuna wimbi la watu JF kutaka kununua accounts za google play console? Hii malipo yake si $25 tu, au mnajaribu kukwepa new terms za google kwa akaunti mpya za google play console
KYC zinawabana sasa hivi. Wote wanaonunua account hao wana malengo ya kuweka malicious apps, yaani app za utapeli/wizi. Na muda si mrefu inakuwa banned. Kisha wanahitaji nyingine. Kwako muuzaji account ikiwa banned utakuja mbeleni kufungua nyingine nayo itakuwa banned ukifanya KYC. Kuuza account yako ni kitu sio cha kufanya.
 
Ukitaka kuweka app kwenye playstore ya google lazima kwanza ufungue account kwamba wewe ni developer na unahitaji kuweka app playstore.

gharama ni usd 25 tu utaweza apps zako humo.

sasa kuanzia mwaka jana google wamebadilisha policy ambazo zinaathiri account mpya kuweka apps playstore.

hizo policy haziathiri developer account za kuanzia october 2023 kurudi nyuma.

Ndio maana hizo account kwa sasa zinanunuliwa kwa bei kubwa.

sema inatakiwa iwe na sifa nzuri kama vile kutokuwa idadi ya suspended app, iwe na live app ambayo bado ipo playstore
uwe na codes ulizotumia kutengenezea hiyo live app.

Kwa uchache ndio hivyo.

kwa mwenye google console account jamani nanunua kwa offa nzuri tu kulingana na sifa za account yako

Tuwasiliane
0677 818283
Nashukuru sana.
 
💥UZA PLAYSTORE APP💥
Kama unamiliki app iliyopo playstore na unaona haikulipi. Niuzie playstore account kwa 1,000,000. Ndio nakupa MILIONI 1.
0677 818283
 
Je umewahi kumiliki app iliyopo playstore na kwa sasa huna tena uhitaji nayo?

Ulishawahi kununua google console na kuilipia $25 ili uje uweke application playstore.

Au wewe ni developer una account ya playstore kwa ajili ya kuweka app.

Mimi ninahitaji kununua hiyo playstore account.

Nanunua Account na app za playstore.Ninahitaji kumiliki account ya kuupload apps zangu.

Offa yangu ni 1,000,000 kwa account.
0677 818283
 
KYC zinawabana sasa hivi. Wote wanaonunua account hao wana malengo ya kuweka malicious apps, yaani app za utapeli/wizi. Na muda si mrefu inakuwa banned. Kisha wanahitaji nyingine. Kwako muuzaji account ikiwa banned utakuja mbeleni kufungua nyingine nayo itakuwa banned ukifanya KYC. Kuuza account yako ni kitu sio cha kufanya.
Una uhakika gani ni za wizi hizo App
 
Kwa sababu zinaishia kufungiwa na akaunti kuwa banned.
Wewe una App? Kuna masharti mengi tangu mwaka 2023 google wameyaongeza ni swala la Dunia nzima hizo app kufungiwa sio wizi kama wewe unavyosema
Google wanamasharti makali sasa kwa sasa hivi hapo ukipoteza simu yako account yako ya Gmail hutoipata tena sijui kama unalijua
 
Nimesoma tena ujumbe wangu wa mwanzo nilisema "Wote wanaonunua account hao wana malengo ya kuweka malicious apps..." naomba kurekebisha na kusema "WENGI wanaonunua account hao wana malengo ya kuweka malicious apps..." Hasa wanaonunua kwa bei ambazo ni too good to be true.

Hapo tunakubaliana?
 
Back
Top Bottom