Nahitaji Graphics card

Nahitaji Graphics card

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Habari zenu anaejua duka linalouza graphics card used anipe mawasiliano yao nahitaji ile yenye umbo dogo low profile mashine yangu ni SFF kuanzia GTX 1060 au RX 590
 
Hakuna Highend gpu yenye umbo dogo, ikishakua highend jua itakua kubwa na mafeni ya kutosha. Gpu kama rx 590 hutapata low profile, na gpu zote ulizo taja ni za kizamani zitakua mtumba hupati mpya.

Pia gpu kibongo bongo kwa uelewa wangu hakuna duka linalouza kwa reasonable price ni mpaka uagizishie nje.

Kama upo tayari kulipa hela yoyote Capricon mjini wana gpu za kutosha.
 
Nimeagiza china Radeon rx 580 8gb(equivalent ya hiyo gtx 1060)kwa laki mbili. Hapa bongo zinauzwa kwa laki 4 hadi tano+

Nililazimika kubadili pc nikaunda nyingine kwa kuagiza motherboard nyingine pia.

Hizo ulizoweka hapo zinaitaji desktop ambayo ni tower tena iwe atx maana kwa gpu unazotaka zinahitaji psu ya watt 500.
 
Hakuna Highend gpu yenye umbo dogo, ikishakua highend jua itakua kubwa na mafeni ya kutosha. Gpu kama rx 590 hutapata low profile, na gpu zote ulizo taja ni za kizamani zitakua mtumba hupati mpya.

Pia gpu kibongo bongo kwa uelewa wangu hakuna duka linalouza kwa reasonable price ni mpaka uagizishie nje.

Kama upo tayari kulipa hela yoyote Capricon mjini wana gpu za kutosha.
Nimekuta icare ipo rx 580 wanauza laki 6 kasoro.😀😀

Hao Capricorn ndio balaa now rtx 2060 ni laki 5 hadi 6 njee ila wao wanauza milion+

Hizi gt si ajabu kukuta wanauza laki 3 kwao.
 
Watu wanapigwa GT 610/710/730 laki 4 ama 4 na nusu maduka kibao mjini.

Gpu nzuri low profile kama 3050, gtx 1650 na rx 6400 ngumu kuzipata masoko yetu.
 
Ila nikagundua pia wengi hawazijui kiundani. Ndio maana wanapigwa.
 
Screenshot_20240404-225720.jpg
Screenshot_20240404-225926.jpg

Hizi bei hapa ni free shipping yaani hadi unaipata mkononi.
 
Ivi kwenye Hp elitedesk 705 g4 sff ambayo ni AMD ryzen 5 pro 2400g. Unaweza weka graphic card na kama inakubali ipi ni Graphic card nzuri?
 
Kama huna ram dual chanell angalau 2933mhz vyema upgrade ram zako kwanza, vega na gpu zote za ndani zina benefit sana ukiwa na faster ram, unaweza pata hadi 50%+ boost kwa kufanya hivyo.

Vega 11 ni kama equivalent ya GT 1030/750 na rx 550 so Gpu ambazo ni upgrade bila kubadili psu ni Gtx 1050 ti, gtx 1650, Rx 6400 na Rtx 3050 6gb version.

Kunakua na Quadro pia watu wanatumia kama P620, P1000, T1000, A2000 etc kwenye mitumba mtumba unapata.
 
Ila nikagundua pia wengi hawazijui kiundani. Ndio maana wanapigwa.
Wabongo Gpu wanaangalia tu ram, ukiwatafutia Gpu za kiboya zenye ram kubwa kama GT 730 unawakamata kweli, akiona gpu ina Vram 4GB ama 6GB basi anaona hii kali.
 
Kama huna ram dual chanell angalau 2933mhz vyema upgrade ram zako kwanza, vega na gpu zote za ndani zina benefit sana ukiwa na faster ram, unaweza pata hadi 50%+ boost kwa kufanya hivyo.

Vega 11 ni kama equivalent ya GT 1030/750 na rx 550 so Gpu ambazo ni upgrade bila kubadili psu ni Gtx 1050 ti, gtx 1650, Rx 6400 na Rtx 3050 6gb version.

Kunakua na Quadro pia watu wanatumia kama P620, P1000, T1000, A2000 etc kwenye mitumba mtumba unapata.
Abaki tu na vega 11.

Maana me nimetumia iko vyema sana game zote anacheza kwa 1080p medium settings.

Sema kama ulivyosema ram tu iwe gb 16.

Me imesukama fc24. Cyberpunk 2077. Call of duty black ops cold war. God of war tomb raider zote na far cry 6.
 
Kama huna ram dual chanell angalau 2933mhz vyema upgrade ram zako kwanza, vega na gpu zote za ndani zina benefit sana ukiwa na faster ram, unaweza pata hadi 50%+ boost kwa kufanya hivyo.

Vega 11 ni kama equivalent ya GT 1030/750 na rx 550 so Gpu ambazo ni upgrade bila kubadili psu ni Gtx 1050 ti, gtx 1650, Rx 6400 na Rtx 3050 6gb version.

Kunakua na Quadro pia watu wanatumia kama P620, P1000, T1000, A2000 etc kwenye mitumba mtumba unapata.
Asante Sana. ngoja nianze na Ram
 
Back
Top Bottom