Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief-Mkwawa Mpe maelekezo Mwenzetu huyuHabari zenu anaejua duka linalouza graphics card used anipe mawasiliano yao nahitaji ile yenye umbo dogo low profile mashine yangu ni SFF kuanzia GTX 1060 au RX 590
Hakuna Highend gpu yenye umbo dogo, ikishakua highend jua itakua kubwa na mafeni ya kutosha. Gpu kama rx 590 hutapata low profile, na gpu zote ulizo taja ni za kizamani zitakua mtumba hupati mpya.Habari zenu anaejua duka linalouza graphics card used anipe mawasiliano yao nahitaji ile yenye umbo dogo low profile mashine yangu ni SFF kuanzia GTX 1060 au RX 590
Hata iwe 2GbVp Kwa dell E,5430 latitude
Naweza pata GPU yake
Hii ni laptop? Kwa Laptop most Of time huwezi upgrade graphics, njia rahisi ni kuuza, top up nunua nyengine.Vp Kwa dell E,5430 latitude
Naweza pata GPU yake
Ndio Asante Kwa ushauriHii ni laptop? Kwa Laptop most Of time huwezi upgrade graphics, njia rahisi ni kuuza, top up nunua nyengine.
Nimeagiza china Radeon rx 580 8gb(equivalent ya hiyo gtx 1060)kwa laki mbili. Hapa bongo zinauzwa kwa laki 4 hadi tano+Habari zenu anaejua duka linalouza graphics card used anipe mawasiliano yao nahitaji ile yenye umbo dogo low profile mashine yangu ni SFF kuanzia GTX 1060 au RX 590
Nimekuta icare ipo rx 580 wanauza laki 6 kasoro.😀😀Hakuna Highend gpu yenye umbo dogo, ikishakua highend jua itakua kubwa na mafeni ya kutosha. Gpu kama rx 590 hutapata low profile, na gpu zote ulizo taja ni za kizamani zitakua mtumba hupati mpya.
Pia gpu kibongo bongo kwa uelewa wangu hakuna duka linalouza kwa reasonable price ni mpaka uagizishie nje.
Kama upo tayari kulipa hela yoyote Capricon mjini wana gpu za kutosha.
Watu wanapigwa GT 610/710/730 laki 4 ama 4 na nusu maduka kibao mjini.Nimekuta icare ipo rx 580 wanauza laki 6 kasoro.😀😀
Hao Capricorn ndio balaa now rtx 2060 ni laki 5 hadi 6 njee ila wao wanauza milion+
Hizi gt si ajabu kukuta wanauza laki 3 kwao.
Ila nikagundua pia wengi hawazijui kiundani. Ndio maana wanapigwa.Watu wanapigwa GT 610/710/730 laki 4 ama 4 na nusu maduka kibao mjini.
Gpu nzuri low profile kama 3050, gtx 1650 na rx 6400 ngumu kuzipata masoko yetu.
Watu wanapigwa GT 610/710/730 laki 4 ama 4 na nusu maduka kibao mjini.
Gpu nzuri low profile kama 3050, gtx 1650 na rx 6400 ngumu kuzipata masoko yetu.
Ni ndogo sana mkuu gpu zinakaa zile ndogo kabisa. Ambazo nyingi kiuwezo zinazidiwa na gpu iliyo ndani ya cpu inayokuja na hiyo desktop (vega 11)Ivi kwenye Hp elitedesk 705 g4 sff ambayo ni AMD ryzen 5 pro 2400g. Unaweza weka graphic card na kama inakubali ipi ni Graphic card nzuri?
Kama huna ram dual chanell angalau 2933mhz vyema upgrade ram zako kwanza, vega na gpu zote za ndani zina benefit sana ukiwa na faster ram, unaweza pata hadi 50%+ boost kwa kufanya hivyo.Ivi kwenye Hp elitedesk 705 g4 sff ambayo ni AMD ryzen 5 pro 2400g. Unaweza weka graphic card na kama inakubali ipi ni Graphic card nzuri?
Wabongo Gpu wanaangalia tu ram, ukiwatafutia Gpu za kiboya zenye ram kubwa kama GT 730 unawakamata kweli, akiona gpu ina Vram 4GB ama 6GB basi anaona hii kali.Ila nikagundua pia wengi hawazijui kiundani. Ndio maana wanapigwa.
Abaki tu na vega 11.Kama huna ram dual chanell angalau 2933mhz vyema upgrade ram zako kwanza, vega na gpu zote za ndani zina benefit sana ukiwa na faster ram, unaweza pata hadi 50%+ boost kwa kufanya hivyo.
Vega 11 ni kama equivalent ya GT 1030/750 na rx 550 so Gpu ambazo ni upgrade bila kubadili psu ni Gtx 1050 ti, gtx 1650, Rx 6400 na Rtx 3050 6gb version.
Kunakua na Quadro pia watu wanatumia kama P620, P1000, T1000, A2000 etc kwenye mitumba mtumba unapata.
Asante Sana. ngoja nianze na RamKama huna ram dual chanell angalau 2933mhz vyema upgrade ram zako kwanza, vega na gpu zote za ndani zina benefit sana ukiwa na faster ram, unaweza pata hadi 50%+ boost kwa kufanya hivyo.
Vega 11 ni kama equivalent ya GT 1030/750 na rx 550 so Gpu ambazo ni upgrade bila kubadili psu ni Gtx 1050 ti, gtx 1650, Rx 6400 na Rtx 3050 6gb version.
Kunakua na Quadro pia watu wanatumia kama P620, P1000, T1000, A2000 etc kwenye mitumba mtumba unapata.
Aha sawa.Ni ndogo sana mkuu gpu zinakaa zile ndogo kabisa. Ambazo nyingi kiuwezo zinazidiwa na gpu iliyo ndani ya cpu inayokuja na hiyo desktop (vega 11)