Nahitaji hard copies ya vitabu hivi

Nahitaji hard copies ya vitabu hivi

Habari wakuu, nina hitaji hasrd copy ya vitabu vya Alex rider by Anthony Horowitz.
List ya vitabu vyenyewe ni hivi.
Wakuu mwenye navyo tuna eza zungumza kwa wema tu, maana mimi ni jobless pro max.
View attachment 2851442
Pindi unasubir hardcopy ukiwa na nafasi ebu dondosha hapa hata hizo softcopy mkuu.
 
Hata wanangu hawatofanya, nilijaribu kwenye basi safarini bado kidogo nife. Ila kuna wadau niliwaona wapo fresh tu kusoma.
Kusoma vitabu sio jambo baya ila Kuna mda unajisome tu kawaida....ila mm siwezi nlijatahidi kusoma soma vya database & network nikaona michoso!

Kuna mda pesa inatake over kichwani unachowaza ni ibada & pesa tu
 
Kama mnaweza pigeni zoezi niwape link mkakiwashe Azam Tv watarusha live mpate pesa mm mtanipa commission!
Mimi hata bila ya zoezi, namuangusha huyu nusu albino Half american .
👉Tena wajiunge na mrusi wa mchongo Ivan Stepanov nawa oasua tu🤣😂😂😃
 
Back
Top Bottom