Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka lenye ekseli nne na double diff yaani 8×4La namna hii?
View attachment 1712710
Kwa hiyo bei?Nataka lenye ekseli nne na double diff yaani 8×4
Kwa hiyo bei?
Hii siyo Mende Mkuu! Mende ina axle 4, inaitwa mende kwakuwa mbele inakua na miguu minne kama mende halisi(cockroach).La namna hii?
View attachment 1712710
Hii ya chini ndio Mende Mkuu.La namna hii?
View attachment 1712710
mwalamusha
Ndaga gwe chikolo utwa pakaja apo
Kawaida kabisa ghwamukayaa. Amenye uchala yuyho, nitapata tu JF haijawahi kuniangusha
Sawa mkuu, Mungu ni mwemaKawaida kabisa ghwamukayaa. Amenye uchala yuyho, nitapata tu JF haijawahi kuniangusha
Ndaga ukyala atutuleGhwe tukomushe, Tukwendelela kisa
Ndaga ukyala atutule
Sivyo unavyofikiriWewe unaonekana mbabaishaji. Umepewa vigezo vya gari ata hujavisoma unamkatisha tamaa.
Labda unaweza pata mkuuNdiyo, kwa hiyo bei
🪳🪳🪳🪳Hii siyo Mende Mkuu! Mende ina axle 4, inaitwa mende kwakua mbele inakua na miguu minne kama mende halisi(cockroach).
Sawa mkuuHii ya chini ndio Mende Mkuu.
View attachment 1712770
Na Hii ni FAW.
View attachment 1712772
Zote zinatumika kwenye kubebea materials ya kujengea(mchanga,kifusi,kokoto,mawe etc) ila FAW zina 19 cbm na mende zinarange 14-17 cbm.