Nahitaji huu uzi nimpate mtu anaemiliki kuanzia 500m kuna experience nahitaji kushare nae!

Habari wakuu, naamini huku JF kuna watu wengi wengine tuna kipato cha kawaida cha maisha ya mtanzania, wengine hatuna chochote zaidi ya kumiliki smartphone kwa ajili ya kureply matusi na makasiriko kwenye post za watu, na wapo wengine waliojaliwa wanaojijua ni wawekezaji wakubwa na matajiri ambao wana experience na pesa na wanaojua uwekezaji mkubwa,

Shida yangu nahitaji mtu mmoja asiwe mtumishi wa serikali ila awe mfanyabiashara ambae amewekeza zaidi ya 500m, Hapa namaanisha nahitaji mtu mwenye exposure kubwa katika Biashara ya pesa ndefu,

Nimeshindwa kuandika hapa lengo la post yangu kwa kuwa naamini wapo watu wengi humu wengine hawajui wanachokitafta katika maisha yao na wengine hulka yao ni kukejeli na ku dispoint kila mtu ambae wao kwa mtazamo yao wanaona ana wazo tofauti na wao au ana mtazamo tofauti na wao,

Namkarbisha PM kwa moyo mkunjufu kabisa ila kama unajua hii haikuhusu na hauna vigezo tafadhari sana achana na post yangu. Fanya kama hujaiona.

If at all you are serious.

Nenda kwenye mikutano ya wafanyabiashara. Nenda kwenye Chambers of Commerce za sehemu mbalimbali kama Dar es salaam Chamber of Commerce. Tafuta access na watu wa CEO Roundtable, mikutano ya TIC na mikutano kama hiyo ya wafanyabiashara na wawekezaji.

Lakini pia, inawezekana unafanya logical fallacy ya proximity ya ku assume kuwa mtu mwenye hela na aliyefanya uwekezaji ndiye anaelewa zaidi hayo mambo.

Mimi nimefanya kazi na professional financial advisors ambao wengine (hususan waliokuwa wanaanza)hawakuwa na hela kubwa sana, ila walijua wapi pa kuweka hela na waliwashauri matajiri wakubwa jinsi ya kuwekeza kwenye markets.

Speaking of that, inawezekana ukahitaji msaada wa professional financial advisor akushauri jinsi ya kuwekeza, umlipe kabisa. Sijui uko wapi na kama bongo wapo, ila, kama unataka kwenda na falsafa yako wa kupata ushauri wa watu wenye uzoefu inawezekana ukahitaji kutumia pesa ili kupata pesa na kuwalipa professional financial advisors wenye uzoefu.

Mnaandikiana mikataba ya kisheria kabisa inayopitiwa na wanasheria wako, anakupa ushauri wapi pa kuwekeza, uwekeze vipi, upunguze vipi kodi kisheria, uongeze vipi faida, etc.

Pengine kupata ushauri wa mtu tu bila mikataba hivyo - mwenye uzoefu au asiye na uziefu- unaweza kualika kutapeliwa.

Cc Waterbender
 
Habari wakuu, naamini huku JF kuna watu wengi wengine tuna kipato cha kawaida cha maisha ya mtanzania, wengine hatuna chochote zaidi ya kumiliki smartphone kwa ajili ya kureply matusi na makasiriko kwenye post za watu, na wapo wengine waliojaliwa wanaojijua ni wawekezaji wakubwa na matajiri ambao wana experience na pesa na wanaojua uwekezaji mkubwa,

Shida yangu nahitaji mtu mmoja asiwe mtumishi wa serikali ila awe mfanyabiashara ambae amewekeza zaidi ya 500m, Hapa namaanisha nahitaji mtu mwenye exposure kubwa katika Biashara ya pesa ndefu,

Nimeshindwa kuandika hapa lengo la post yangu kwa kuwa naamini wapo watu wengi humu wengine hawajui wanachokitafta katika maisha yao na wengine hulka yao ni kukejeli na ku dispoint kila mtu ambae wao kwa mtazamo yao wanaona ana wazo tofauti na wao au ana mtazamo tofauti na wao,

Namkarbisha PM kwa moyo mkunjufu kabisa ila kama unajua hii haikuhusu na hauna vigezo tafadhari sana achana na post yangu. Fanya kama hujaiona.
Mkuu umewaza Vizuri sana,lkn hofu yangu ni Kwamba Wana JF wengi ni waongo,wanafeki maisha.Lkn pia watu wengi waliofanikiwa huwa hawaelezi kinagaubaga jinsi walivyofanikiwa hueleza tu juu juu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu, naamini huku JF kuna watu wengi wengine tuna kipato cha kawaida cha maisha ya mtanzania, wengine hatuna chochote zaidi ya kumiliki smartphone kwa ajili ya kureply matusi na makasiriko kwenye post za watu, na wapo wengine waliojaliwa wanaojijua ni wawekezaji wakubwa na matajiri ambao wana experience na pesa na wanaojua uwekezaji mkubwa,

Shida yangu nahitaji mtu mmoja asiwe mtumishi wa serikali ila awe mfanyabiashara ambae amewekeza zaidi ya 500m, Hapa namaanisha nahitaji mtu mwenye exposure kubwa katika Biashara ya pesa ndefu,

Nimeshindwa kuandika hapa lengo la post yangu kwa kuwa naamini wapo watu wengi humu wengine hawajui wanachokitafta katika maisha yao na wengine hulka yao ni kukejeli na ku dispoint kila mtu ambae wao kwa mtazamo yao wanaona ana wazo tofauti na wao au tabu ana mtazamo tofauti na wao,

Namkarbisha PM kwa moyo mkunjufu kabisa ila kama unajua hii haikuhusu na hauna vigezo tafadhari sana achana na post yangu. Fanya kama hujaiona.
unapata tabu gani ww mcheki huyu mtu INSIDER MAN chap kwa haraka haioksi hyo ...
 
Mfanyabishara wa M500 humu huwezi kumkuta yupo busy na kumaintain biashara zake,,humu wapi kuanzia 200 kushuka chini,waajiriwa na jobless
Nakazia, mimi binafsi sijafikisha iko kiwango cha pesa ila sometimes nakuaga busy hata muda wa kula sipati achilia mbali muda wa kushika simu
 
Na kuamini,Kuna Mtu namjua ni member humu sidhani hata kama 500 imefika ila yupo vizuri kibiashara yaani kukuta humu comment yake ni baada ya miezi SITA...ila sie kina nikopeshe aftatu Sasa🤣🤣🤣🤣
 
Habari wakuu, naamini huku JF kuna watu wengi wengine tuna kipato cha kawaida cha maisha ya mtanzania, wengine hatuna chochote zaidi ya kumiliki smartphone kwa ajili ya kureply matusi na makasiriko kwenye post za watu, na wapo wengine waliojaliwa wanaojijua ni wawekezaji wakubwa na matajiri ambao wana experience na pesa na wanaojua uwekezaji mkubwa,

Shida yangu nahitaji mtu mmoja asiwe mtumishi wa serikali ila awe mfanyabiashara ambae amewekeza zaidi ya 500m, Hapa namaanisha nahitaji mtu mwenye exposure kubwa katika Biashara ya pesa ndefu,

Nimeshindwa kuandika hapa lengo la post yangu kwa kuwa naamini wapo watu wengi humu wengine hawajui wanachokitafta katika maisha yao na wengine hulka yao ni kukejeli na ku dispoint kila mtu ambae wao kwa mtazamo yao wanaona ana wazo tofauti na wao au ana mtazamo tofauti na wao,

Namkarbisha PM kwa moyo mkunjufu kabisa ila kama unajua hii haikuhusu na hauna vigezo tafadhari sana achana na post yangu. Fanya kama hujaiona.
Nenda kituo cha uwekezaji Tanzania "TIC" watakuunganisha na watu wenye pesa wanaotaka kuwekeza, ambao hiyo million 500 ni pesa ndogo sana kwenye uwekezaji.

Kila siku TIC wanatangaza hayo.

Uwekezaji wa million 500 kwa sasa kama haupo kwenye mizunguko ya kibiashara unaweza kuuona ni mwingi sana lakini ukweli ni ni kuwa mwenye kiduka yeyote yule hata kiosk tu kawekeza kima hicho au zaidi ya hicho.

Ukija kwa waofanya biashara za mazao. hicho ni kima kidogo sana.

Nakushauri kama una wazo lako lifanyie kazi mwenyewe. Kila mtu ana mawazo ya kutengeneza pesa kuliko unavyofikiria.
 
Back
Top Bottom