Nahitaji huu uzi nimpate mtu anaemiliki kuanzia 500m kuna experience nahitaji kushare nae!

Nahitaji huu uzi nimpate mtu anaemiliki kuanzia 500m kuna experience nahitaji kushare nae!

500M ni hela nyingi kinyama lakini kila nikipiga hesabu kwamba haitosh kumenya G wagon naishiwa nguvu kabisa
 
Habari wakuu, naamini huku JF kuna watu wengi wengine tuna kipato cha kawaida cha maisha ya mtanzania, wengine hatuna chochote zaidi ya kumiliki smartphone kwa ajili ya kureply matusi na makasiriko kwenye post za watu, na wapo wengine waliojaliwa wanaojijua ni wawekezaji wakubwa na matajiri ambao wana experience na pesa na wanaojua uwekezaji mkubwa,

Shida yangu nahitaji mtu mmoja asiwe mtumishi wa serikali ila awe mfanyabiashara ambae amewekeza zaidi ya 500m, Hapa namaanisha nahitaji mtu mwenye exposure kubwa katika Biashara ya pesa ndefu,

Nimeshindwa kuandika hapa lengo la post yangu kwa kuwa naamini wapo watu wengi humu wengine hawajui wanachokitafta katika maisha yao na wengine hulka yao ni kukejeli na ku dispoint kila mtu ambae wao kwa mtazamo yao wanaona ana wazo tofauti na wao au ana mtazamo tofauti na wao,

Namkarbisha PM kwa moyo mkunjufu kabisa ila kama unajua hii haikuhusu na hauna vigezo tafadhari sana achana na post yangu. Fanya kama hujaiona.
Eeh bana eeeh
 
Back
Top Bottom