ntinyo
Member
- Jul 29, 2017
- 35
- 31
Tuko
Pamoja mkuu....karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja mkuu....karibu
Yaani mkuu kila nikijaribu kutupia nashindwamkuu ungefanya kutupia hata clip ...
Mkuu, haina haja ya kutafuta wadhaamini na majukwaa moja kwa moja sbb ni ngumu na wengi wanaoitwa wanajulikana. Usiwaone Joti na wengine wanang'ara ukadhani waliibuka tu na kujulikana. Walijenga jina kwanza.Ni kijana wa chuo mwaka wa kwanza
Nimejihusha kwenye comedy hii
Nilifanya siku moja chuoni kila mtu aliipenda
Kwa sasa nimeamua kuingia moja kwa moja katika comedy hii
Kila siku najifunza vipya kutoka
Kenya
Nigeria
Marekani
Hapa Tanzania kwetu
Kwa sasa najiona nipo vizuri
Tatizo ni bado mdogo sana ,sijulikani,sijui hata stage nitaipata wapi,
Natamani atokee mtu yeyote anisapoti kwa hili
Nina imani ataipenda kwakweli
Nipo creative na hii sanaa
Nina jokes nyingi
Sina sapoti
Au kama kuna pati yeyote niitwe nafanya hata bure ili unione
Ukinisapoti wewe Nina uhakika na faida utapata kwa hili
Jaribu kunisapoti utaipenda kwakweli
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu asante sanaMkuu, haina haja ya kutafuta wadhaamini na majukwaa moja kwa moja sbb ni ngumu na wengi wanaoitwa wanajulikana. Usiwaone Joti na wengine wanang'ara ukadhani waliibuka tu na kujulikana. Walijenga jina kwanza.
Kwa ulichokifanya ni mwanzo mzuri, kbsa wa kujulikana, usiangalie pesa kwanza sbb utapotea kwa sasa haujulikani.
Hapo chuo, kuna sherehe mbali mbali, omba kushiriki kama Mc hata kama usipopata u MC omba hata dk 10 au 20 kuchekesha. Mfano, kwenye mikutano hapo chuo, kabla hawajaanza mkutano, nenda mbele chekesha au kwenye sherehe za dini fanya comedy,(Usitangulize pesa), taratibu, utaanza kuwa maarufu chuo, na chuo kina watu wengi, kwahiyo kupitia hao watu wataanza kukuomba ukaburudishe katka sherehe zao. Kwenye sherehe za mitaani, nenda ukaombe U MC wakikunyima usikasirike, waombe dk 20 tu (Usiombe pesa) za kuchekesha, ukifanya kama sherehe 5, wao wenyewe wataanza kukaalika na hapo utakuwa ni mwanzo wa mafanikio yako. Mc pilipili alianza kwenye masherehe.
Usikimbilie kwa wadhamini ndugu yangu, utakuwa sawa na mtumwa. Kufika kwenye level ya mafanikio siyo mchezo, inabidi ukomae kweli.
Uaminifu na kujituma ndiyo ngao. Jenga jina kwanza hayo mafanikio yatakuja baada ya kujenga jina
GoodMkuu asante sana
Yaani mkuu umeandika vitu muhimu
Nafanya hivyo kuanzia sasa
Nina imani umenionesha njia
Asante mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
We dogo au unazuga sio comedy
Huyu dogo alikuwa anajifunza kupost
Muone Nabii TitttoChuki sim yako, jirekodi vipande kadhaa na kisha tupia Facebook, Instagram na YouTube.
Kama kweli unakipaji utaonekana.
Naamini huo ndio msaada mkubwa sana kwako.
Bahati mbaya mimi sio mtumiaji wa kiwele tafadhali...tehMuone Nabii Tittto
Multiple IDs kaziniBahati mbaya mimi sio mtumiaji wa kiwele tafadhali...teh
Jamaa keshatoboa!Mkuu ungeanza na kuupload video zako YouTube itakusaidia