Nahitaji kampani usiku wa leo.......

Nahitaji kampani usiku wa leo.......

wewe mkubarie tu ukamchune si unajua mchele na maharage ndani yamekwisha ? mie nakuaminia najua wataishia kunawa.

Kudadadeki nitonye chukua room!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mie naweza kuwapa kampani? Nimefulia lakini, nitachangia stori tu na vicheko (i have the best laugh, i promise)
nitonye my exshemeji plz plz
 
Last edited by a moderator:
Nshaku PM kimwana.
Sema ungependa nitoke vipi sasa?

mtoko wa bakurutu.....
suruali ya kitambaa, shati la mikono mirefu weka na saspenda, chini malizia ngwasuma.....
usisahau kitambaa cheupe, ikipingwa ngoma ya king kikii lazma tuicheze na vitambaa vyeupe juu!!!!
 
eneo la tukio ni wapi nitie maguu ukizingatia walipaji wamepatikana teh teh nisije kuosha vyombo na kufua mashuka huko loh.
 
Teh teh teh!
Mwambie king'ast nae asikose basi!
Maana itakua bonge la burudani.
 
Last edited by a moderator:
eneo la tukio ni wapi nitie maguu ukizingatia walipaji wamepatikana teh teh nisije kuosha vyombo na kufua mashuka huko loh.

JB Belmont hotel ndani ya rock city, live band pale....
karibu bibie, ha ha ha hafui mtu shuka hata kutoroka tutatoroka!!!
 
JB Belmont hotel ndani ya rock city, live band pale....
karibu bibie, ha ha ha hafui mtu shuka hata kutoroka tutatoroka!!!

dah ningekuja lakini kiatu kimenikatikia njiani so sorry narudi kulala,hope nitonye keshafika.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom