Nahitaji kazi yoyote, elimu yangu ni Kidato cha Sita

Nahitaji kazi yoyote, elimu yangu ni Kidato cha Sita

Unachoeleza hakiingii akilini. Division one ya SCIENCE, mtoto wa mtu asiye na uwezo halafu eti umeshindwa kupata chaguo la kozi kwenye vyuo vya Serikali na mkopo haukupata??

Hebu njoo tuzungumze PM

Nakuja
 
Pole sana
Bongo nyoso hata ukipasi
Na bado ukimaliza chuo huna uhakika wa kazi
Pambana kuendelea kusoma, kazi utanyanyasika tu...
 
Pambania kwanza suala la chuo na mkopo .. usikate tamaa bado mapema sana, hangaika kwa watu wanaohusika moja kwa moja zungumza nao kwa ukarimu utapata msaada..

Usipoteze hii chance wala usi delay

Ni rahisi zaidi kufutalia issue yako ya elimu..
Kuliko kutafuta vibarua huku mtaani bila connection! Kuna ugumu kidogo..!
 
Back
Top Bottom