Unachoeleza hakiingii akilini. Division one ya SCIENCE, mtoto wa mtu asiye na uwezo halafu eti umeshindwa kupata chaguo la kozi kwenye vyuo vya Serikali na mkopo haukupata??
Pambania kwanza suala la chuo na mkopo .. usikate tamaa bado mapema sana, hangaika kwa watu wanaohusika moja kwa moja zungumza nao kwa ukarimu utapata msaada..
Usipoteze hii chance wala usi delay
Ni rahisi zaidi kufutalia issue yako ya elimu..
Kuliko kutafuta vibarua huku mtaani bila connection! Kuna ugumu kidogo..!