lusajo1990
Member
- Sep 28, 2014
- 20
- 18
Habari, rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kijana ambae ana njaa ya kazi to the extent nikimpa kazi atakuwa na fresh ideas za namna ya kuongeza sales na hatimae faida.
Nahitaji kijana ambae ataifanya kazi akiamini hii itamsukuma kimaisha. Mimi ni entrepreneur mdogo na hili ni duka dogo la tatu nafungua hivyo atakaepata hii kazi awe assured tuta grow pamoja.
Hata kama upo mkoani apply nitatoa nusu ya kodi ya nyumba. Nitumie message, unahitaji mshahara kihasi gani, na background yako kwa jumla.
Regards
Lusajo Joseph
Lusajongula@gmail.com