lusajo1990
Member
- Sep 28, 2014
- 20
- 18
Nimemshtua mdau ameshaomba kupitia email ananjaa na anahasira na kazi vibaya mno [emoji3][emoji3]Fact, tumeni maombi kwa namba 0753828254, ila nitasoma na kujibu kesho
Huo mtaji hautoshi..me pia ninafanya hii biashara..atleast uwe na minimum 8M.Mkuu mimi sihitaji ajira ila naomba unipe mwanga wa hii biadhara ili nije nifungue duka langu dogo kwa mtaji wa 3M.asante.
hizo ni spare za nini kakaHuo mtaji hautoshi..me pia ninafanya hii biashara..atleast uwe na minimum 8M.
Magari mkuuhizo ni spare za nini kaka
Hapana mkuu,pamejaaMkuu naweza kupata kazi hapo kwako
mpk umeliona tangazo huku tyr unajua kutumia email achenigi masiharaKwa nini usingetoa number ya simu ili iwe rahisi kwa wahitaji wengi ambao hawajui hata kutumia email?
Umeelewa nilichoandika,au K vant zishakulewesha?mpk umeliona tangazo huku tyr unajua kutumia email achenigi masihara
Mie nipo hapa.