Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni isiwe porini ukubwa uwe 10x15 au 15x15 bajeti yangu kwa kila kiwanja ni sh mil 2 kushuka chini. kama unamfahamu aliye nacho njoo DM au nishtue. viwanja hivyo vinatakiwa mpaka wmezi wa 7 viwe vimepatikana.
Kina Kambele wana futi ambazo walikata katikati akipima unaona imekamilika ukipima na ya kwako ndio utajua umeingizwa chakaWatafute kambele investment.....ila kwa hiyo bei labda rokii!
Si unabeba zote mbili?Kina Kambele wana futi ambazo walikata katikati akipima unaona imekamilika ukipima na ya kwako ndio utajua umeingizwa chaka
Ila Arusha kuna maeneo yakuvutia sana....Watafute kambele investment.....ila kwa hiyo bei labda rokii!
Wapi huko kuna uchuro ndugu tujuze tusijeIla Arusha kuna maeneo yakuvutia sana....
Hivi kule USA/Majani ya Chai kiwanja ni bei gani?...Eneo ambalo nitaweza kupata sehemu ya kujenga nyumba + eneo dogo la nje kwa ajili ya mapumziko nahisi kama sqm 30 × 30 au sqm 30 × 25
Nahitaji Mungu akijalia nihamie kanda pendwa ya Kask nikatulie Humo..Humu uchuro mtupu!
Hahahah...Wapi huko kuna uchuro ndugu tujuze tusije
😁😁😁😁😁 hii kama sio Tabora....Hahahah...
Nilijua nitakutana na swali kama hili.
Ila kwa heshima ya Mkoa naomba nitulie tuu..yaani jua kali,kijani chakutafuta,maji ni shida,mauchawi + kufuatiliana hovyo,vyakula vyenye ubora kupatikana nayo ni shida tupu haswa mbogamboga za majani.
Kuna kipindi nilikuwa kule Arusha within 3 days..isee nilikuwa interested balaa
[emoji23][emoji23][emoji23]...Mkuu una ugomvi na akna Shilole eeh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hii kama sio Tabora....
Uko mkoa gani kwanzaHahahah...
Nilijua nitakutana na swali kama hili.
Ila kwa heshima ya Mkoa naomba nitulie tuu..yaani jua kali,kijani chakutafuta,maji ni shida,mauchawi + kufuatiliana hovyo,vyakula vyenye ubora kupatikana nayo ni shida tupu haswa mbogamboga za majani.
Kuna kipindi nilikuwa kule Arusha within 3 days..isee nilikuwa interested balaa
lake regions.Uko mkoa gani kwanza
Kwa hayo maeneo hiyo bei ya 2m kwa huo ukubwa wa kiwanja siyo rahisi sana kupata. Ungekuwa na angalau 10-15m hapo sawa ila kwa 2m utatembea kutafuta kiwanja mpaka soli ya viatu zitakwishney,Nahitaji Kiwanja Arusha maeneo ya Kiserian, Moshono na Chekereni isiwe porini ukubwa uwe 10x15 au 15x15 bajeti yangu kwa kila kiwanja ni sh mil 2 kushuka chini.
Kama unamfahamu aliye nacho njoo DM au nishtue. viwanja hivyo vinatakiwa mpaka wmezi wa 7 viwe vimepatikana.