Nahitaji Kiwanja cha kununua

Mh, DDC ndo nini?
 
Pia ushapata hicho kiwanja?
 
Mh, DDC ndo nini?
DDC ni dar es salaam development corporation ( shirika la maendeleo dar esalaam ) walikua wanamiliki kumbi za DDC,viwanja na nk kama wewe ni mtoto wa 2010 huwezi elewa
 
Mimi siyo mdogo kihivyo ila kujua kilakitu haiwezekani. Kiwanja ulipata?
 
Nichek 0655556426 ,kuna kiwanja kinamilikiwa na mwenye,pia uduma zote muimu kama ,maji ,umeme, shule ,!nyumba za ibada na kutoka mbezi mwisho upa uko gar moja,
Mbez msumi
 
Nina jamaa yangu yupo kwembe njoo pm, kuna 15x40 kipo mlimani kidogo anataka 30m na kingine 15x10 wanataka 5m ila unaongea nao wanakuongezea njoo uchukue) km5 toka luguruni,kwa mkuu wilaya ya ubungo kituo kimoja kufika kibamba, morogoro rd hiyo
 
Milioni 30 mbona parefu hivyo duh
 
Nina jamaa yangu yupo kwembe njoo pm, kuna 15x40 kipo mlimani kidogo anataka 30m na kingine 15x10 wanataka 5m ila unaongea nao wanakuongezea njoo uchukue) km5 toka luguruni,kwa mkuu wilaya ya ubungo kituo kimoja kufika kibamba, morogoro rd hiyo
mkuu sqm 150 ni ndogo sana iyo bora hata ingekua 300 maana kupimwa icho hakiwezi kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…