Nahitaji Kiwanja cha kununua

Nahitaji Kiwanja cha kununua

vya makampuni vingi vinakua na sifa izi
1. kwa bajeti yangu kiwanja nitakachopata mji unakua bado maendeleo kama maji na umeme sababu wanachukua mapori na kukata kata viwanja
2. kiwanja kidogo tu bei kubwaa
3.makampuni mengi waongo mfano unakuta wamechukua pori la bagamoyo kiromo wanakata kata viwanja wanauza kumbe ni eneo lipo kwenye hifadhi ya bandari bagamoyo unakuja shtuka umepigwa
4.makampuni yanadanganya vuwanja vimepimwa ukimaliza kulipia hakuna hati wala nn kumbe ni viwanja vya DDC kama kule bunju mpaka raisi kaingilia kati kaamua tu waliojenga wanunue sqm moja kwa sijui buku ika ambao hawajajenga watanunua kama kawaida ivyo unanunua kiwanja mara 2
Mh, DDC ndo nini?
 
Pia ushapata hicho kiwanja?
 
Mh, DDC ndo nini?
DDC ni dar es salaam development corporation ( shirika la maendeleo dar esalaam ) walikua wanamiliki kumbi za DDC,viwanja na nk kama wewe ni mtoto wa 2010 huwezi elewa
 
Mimi siyo mdogo kihivyo ila kujua kilakitu haiwezekani. Kiwanja ulipata?
 
Nichek 0655556426 ,kuna kiwanja kinamilikiwa na mwenye,pia uduma zote muimu kama ,maji ,umeme, shule ,!nyumba za ibada na kutoka mbezi mwisho upa uko gar moja,
Mbez msumi
 
Nina jamaa yangu yupo kwembe njoo pm, kuna 15x40 kipo mlimani kidogo anataka 30m na kingine 15x10 wanataka 5m ila unaongea nao wanakuongezea njoo uchukue) km5 toka luguruni,kwa mkuu wilaya ya ubungo kituo kimoja kufika kibamba, morogoro rd hiyo
 
Milioni 30 mbona parefu hivyo duh
 
Nina jamaa yangu yupo kwembe njoo pm, kuna 15x40 kipo mlimani kidogo anataka 30m na kingine 15x10 wanataka 5m ila unaongea nao wanakuongezea njoo uchukue) km5 toka luguruni,kwa mkuu wilaya ya ubungo kituo kimoja kufika kibamba, morogoro rd hiykuu halafu 10 kwa 15 hakiwezi kupimwa kamwee maana sqm 150 ni ndogo sana

Nina jamaa yangu yupo kwembe njoo pm, kuna 15x40 kipo mlimani kidogo anataka 30m na kingine 15x10 wanataka 5m ila unaongea nao wanakuongezea njoo uchukue) km5 toka luguruni,kwa mkuu wilaya ya ubungo kituo kimoja kufika kibamba, morogoro rd hiyo
mkuu sqm 150 ni ndogo sana iyo bora hata ingekua 300 maana kupimwa icho hakiwezi kamwe
 
Back
Top Bottom