kingkimwe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,839
- 2,481
Hiki uliuza?kama kipo kinaendaje?
10m mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki uliuza?kama kipo kinaendaje?
Kipo cha 650 dege kimepimwa na kina bikon ukifel cha 800 nione
Kina nyaraka zipi mkuu?Hiki bado kipo wakuu mwenye kuhutaji an Pm Nimehamia Dodoma Ndio kisa cha kuuza kama kuna mtu huku dom tunaweza kuexchange fresh tu pia!!!
Kipo mtaa upi, umbali toka barabarani ukoje, kina nyaraka gani? hebu kielezee kdg mkuu..Hiki bado kipo wakuu mwenye kuhutaji an Pm Nimehamia Dodoma Ndio kisa cha kuuza kama kuna mtu huku dom tunaweza kuexchange fresh tu pia!!!
Bado kipo kiwanja kimepimwa na kina hati kipo karibu na degeUmeshauza? kinadai bei gani?
Kua makini usije kutapeliwa...mm icho kiwanja kipo karibu na dege kimepimwa na kina hati zote rafik angu anafanya kazi bank ndio anakiuza aliniomba nimpostie humu sababu yeye anashindwa kutumia jfHiki uliuza?kama kipo kinaendaje?
Kipo mtaa upi, umbali toka barabarani ukoje, kina nyaraka gani? hebu kielezee kdg mkuu..
Kua makini usije kutapeliwa...mm icho kiwanja kipo karibu na dege kimepimwa na kina hati zote rafik angu anafanya kazi bank ndio anakiuza aliniomba nimpostie humu sababu yeye anashindwa kutumia jf
Kipo mtaa upi, umbali toka barabarani ukoje, kina nyaraka gani? hebu kielezee kdg mkuu..
Wiki ijayo kama hakitachukuliwa nitakucheki Mkuu.Ingawa Kigamboni michezo sana imenikuta Kibugumo Shule.Kina mkataba wa serikali za mtaa hati unakwenda kuchukua tu mana kina bicon kipo karibu na Tannesco kiukweli neighborhood ni nzur sanaa kuna nyumba za maana kama ni mwenyeji ni karibu na kwa rais mstafu shein ,Mimi ni mtumishi wa umma kabla hujalipa tutafanya kila kitu kujiridhisha na umilk wako [emoji1545]