ndege joni
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 689
- 1,126
Amani iwe nanyi nyote
Kama mada inavyosema, ni kwamba nahitaji kuagiza gari kutoka Japan, nimependelea kuitaja Mazda CX-5 ya kati ya 2013 - 2014 kwa sababu nimeona mwonekano wake ni mzuri ila sijui kuhusu uimara na upatikanaji wa spea zake
Naomba ushauri kwa wazoefu, je ni gari ya kununua ama laa. Kama ina changamoto, nashauri ninunue gari gani?
Pia huwa napenda kuangalia BE FORWARD, kati yao na SBT Japan ni wapi wapo vizuri?
Nimeandaa pesa isiyopungua 20M na isipzidi 30M
Karibuni, naamini katika wote watakaochangia kuna mmoja atanipa madini ya uzoefu wa magari.