ndege joni
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 689
- 1,126
Nimeupitia nimepata kitu, niwaze aina nyingine ya gariBongo kwa ushauri tu,aah hakuna wa kukunyima ushauri cha kufanya em pitia andiko la jamaa hapa Mazda CX 5 inanifilisi! uongeze maarifa.
Uzi wa jamaa hauna mashiko. Ukifanya uzembe hata kwa mwili wako lazima ukufilisi.Nimeupitia nimepata kitu, niwaze aina nyingine ya gari
0614949474 njoo Whatsapp ndugu tuyajengeAmani iwe nanyi nyote
Kama mada inavyosema, ni kwamba nahitaji kuagiza gari kutoka Japan, nimependelea kuitaja Mazda CX-5 ya kati ya 2013 - 2014 kwa sababu nimeona mwonekano wake ni mzuri ila sijui kuhusu uimara na upatikanaji wa spea zake
Naomba ushauri kwa wazoefu, je ni gari ya kununua ama laa. Kama ina changamoto, nashauri ninunue gari gani?
Pia huwa napenda kuangalia BE FORWARD, kati yao na SBT Japan ni wapi wapo vizuri?
Nimeandaa pesa isiyopungua 20M na isipzidi 30M
Karibuni, naamini katika wote watakaochangia kuna mmoja atanipa madini ya uzoefu wa magari.
UNataka kumweka mtu kati.0614949474 njoo Whatsapp ndugu tuyajenge
Huu ushauri mzuri sana.Usinunue hilo gari utajuta
Mkuu achukue ya 2018 ova.Uzi wa jamaa hauna mashiko. Ukifanya uzembe hata kwa mwili wako lazima ukufilisi.
Mazda CX5 tafuta ya kuanzia 2016 kwenda juu. I will recommend 2018 maana mambo mengi washasolve.
Kama unachukua ya diesel uwe unaitoa nje mjini uikimbize hata km 150 mara moja kwa mwezi. Ikifika toa hiyo DPF na pipe gani sijui inayochemka weka ya chuma badala ya plastick.
Usifanye uzembe kwenye service.
Kwenye petrol nayo ni mchekea zaidi.
Chukua chuma hiyo usiwaze.
Otherwise karibu kwenye ulimwengu wa RAV4 generation 5 andaa hela tu.
Tafuta gari nyingine mkuu.Nimeandaa pesa isiyopungua 20M na isipzidi 30M
Aende kwenye ist kwanza au sio, vip na vanguard, rav4 miss tz, premio new model first car inafaa?CX5 na First Car havikai sentence moja. Huyu tumzuie kwa nguvu yoyote.