Nahitaji kuagiza Toyota Vanguard 2011

Nahitaji kuagiza Toyota Vanguard 2011

Mkuu nimefuata ushauri wako na tayari nimeshaangiza na Autocom(ACJ) nasubiri ifike tu nchini kiasi cha miezi 2 kutoka sasa nilipie ushuru around 17.9M

Ahsante sana.
Hongera sana gari nayoitumia sasa niliagiza kupitia ACJ jamaa wana bei nzuri ni vile baadhi yetu tumekariri Befoward ila amini kuna kampuni zina gari nzuri na bei ni affordable. Vipi inasubiri space kwenye meli au ishapakiwa kwenye meli?
 
Bado mkuu ndio nimetoka kulipia jana na kutuma TT(Bank slip)
 
Check japanesevehicles.com ingawa huwa ni expensive ila grade zao ni uhakika.
Utafuti wa Vanguard, za nyuma zina key, hizi nyingine ni keyless.
Pia kuwa makini kuna zenye engine 2360 na nyingine zaidi ya 3000cc na huwa ni cheaper.
Kuna zingine seven seater, nyingine ni 5.
Kwani hizo zenye 3000cc Ni fake hadi umwambie hivo? Ni sawa na umwambie mtu kuwa makini Kuna xiaomi yenye RAM 6 na 4
 
Nimeagizia vanguard ya 2011 SBT Japan ilikua mwezi wa Tisa imefika wa kumi na Moja.. Km 60,000 Kwa CIF ya USD 8000. Inabeba watu 7.... Nilichojifunza unaweza kubembeleza ikashuka zaidi sema mi sio mtu wa kubembeleza sana. Cha kufanya register web Yao then atakuja agent ambaye atakupa maelekezo yote either Kwa kuchati au kupiga sim. Agent wangu alikua Iqram ni binti.
 
Sure tena uki quote gari wanakutafuta whatsapp mna negotiate…pia wanakupa update kila ikishuka bei

Kuna Mercedes C250 walianza kwa $3500
After a week ilishuka mpk $2900

Sometimes ukiwa na subira unapata cheap
 
Salaaam wanabaraza.

Kama kichwa cha mada kilivyo hapo juu.
Nahitaji kuagiza gari aina ya Toyota Vanguard ya mwaka 2011/2012.
Kwa kuwa mimi sio mzoefu wa magari ndio maana nimekuja humu kuomba muongozo kwa vitu vifuatavyo.

1.Kampuni gani ni nzuri na ya uhakika kwa ajili ya kuagiza gari tajwa hapo juu.

2.Je kuna utofauti gani mkubwa kati ya Vanguard ya mwaka 2011/12 na zile za miaka ya nyuma yake 2007,8,9 nk

3.Ni mambo gani muhimu napaswa kujua na kuzingatia kabla ya kuagiza, inapofika na baada ya kukabidhiwa gari?

Na mengineyo kama yapo ikiwemo ushauri na maoni yenu.

Naombeni mchango wenu wataalamu wa humu.

Wasaalaaam.

Extrovert, @msahana. @mrangi na wengineo
070
Aagize kupitia Autocom mi pia nimewahi agiza two times kupitia ACJ. Nimecheki kwenye web yao nimekuta wana Vanguard za hiyo miaka anayotaka, nikaingia Befoward nimekuta Vanguard za miaka 2007/2008 nk bei imechangamka tofauti na Autocom ambapo gari ya 2012 iko around $ 6300.

Mkuu agiza kupitia Autocom Japan uzuri jamaa wanashuka
0764423726.. kaka njoo wasap mm ni agent nkufanyie kaZ
 
Mkuu kodi inaweza kubadilika, jiandae mapema, mwaka 2023 hesabu zinapigwa upya.
Ni kweli ila mabadiliko ya kodi huwa yanatokea tarehe 1 July ya kila mwaka.
Sidhani kama tofauti na hapo.
Na ni nadra sana kwa serikali kubadili viwango vya kodi katikati ya mwaka wa fedha.

Lakini ushauri naupokea kaka
 
Calculator ndo huwa inabadilisha kodi mwaka ukibadilika, kuwa makini na hilo
 
Ni kweli ila mabadiliko ya kodi huwa yanatokea tarehe 1 July ya kila mwaka.
Sidhani kama tofauti na hapo.
Na ni nadra sana kwa serikali kubadili viwango vya kodi katikati ya mwaka wa fedha.

Lakini ushauri naupokea kaka

Calculator ya kodi ya gari inatoza uchakavu kwa mwaka wa kalenda, sio mwaka wa fedha.
 
Ni kweli ila mabadiliko ya kodi huwa yanatokea tarehe 1 July ya kila mwaka.
Sidhani kama tofauti na hapo.
Na ni nadra sana kwa serikali kubadili viwango vya kodi katikati ya mwaka wa fedha.

Lakini ushauri naupokea kaka

TRA wanafanya mabadiliko 'njanuari', wajinga sana wale...

Mfano toka mwaka 2020 kwenda 2021, gari nyingi zilipanda ushuru haswa zile zinazopendwa ikiwemo Vanguard...
 
Mkuu ulifanikiwa kupata hii gari? Naomba utupe experience kidogo🙏🏾
 
Back
Top Bottom