THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
- Thread starter
- #21
Je wana ofisi zao hapa bongo?Aagize kupitia Autocom mi pia nimewahi agiza two times kupitia ACJ. Nimecheki kwenye web yao nimekuta wana Vanguard za hiyo miaka anayotaka, nikaingia Befoward nimekuta Vanguard za miaka 2007/2008 nk bei imechangamka tofauti na Autocom ambapo gari ya 2012 iko around $ 6300.
Mkuu agiza kupitia Autocom Japan uzuri jamaa wanashuka