Nahitaji kuagiza Toyota Vanguard 2011

Nahitaji kuagiza Toyota Vanguard 2011

Aagize kupitia Autocom mi pia nimewahi agiza two times kupitia ACJ. Nimecheki kwenye web yao nimekuta wana Vanguard za hiyo miaka anayotaka, nikaingia Befoward nimekuta Vanguard za miaka 2007/2008 nk bei imechangamka tofauti na Autocom ambapo gari ya 2012 iko around $ 6300.

Mkuu agiza kupitia Autocom Japan uzuri jamaa wanashuka
Je wana ofisi zao hapa bongo?
 
Je wana ofisi zao hapa bongo?

Wanazo lakini si lazima uagize kupitia hizo ofisi. Watakucheki hata kwa WhatsApp, wakala wao wa huko. Wanapunguza bei from usd 100-200. Ningeweza hata kujupa namba ya mmoja wa wakala wao huko ila kwa usalama zaidi ingia mwenyewe kwenye website yao, ukitoa contacts zako mtu atakutafuta. Na documents zitatumwa ofisi ya hapa, clearing agent wako atachukulia hapo. Bei za agent hazizidi laki 3 hata ofisi za bongo wakisema wana agent wao, zingatia hilo, usije ukapigwa
 
Nimewacheck beforward wamenipa list yao ila gari nyingi zimechoka.
Zimetembea 100-200k
Na bei yao ipo juu sana.
 
Wanazo lakini si lazima uagize kupitia hizo ofisi. Watakucheki hata kwa WhatsApp, wakala wao wa huko. Wanapunguza bei from usd 100-200. Ningeweza hata kujupa namba ya mmoja wa wakala wao huko ila kwa usalama zaidi ingia mwenyewe kwenye website yao, ukitoa contacts zako mtu atakutafuta. Na documents zitatumwa ofisi ya hapa, clearing agent wako atachukulia hapo. Bei za agent hazizidi laki 3 hata ofisi za bongo wakisema wana agent wao, zingatia hilo, usije ukapigwa
Hao autocom nimewachek kupitia wakala wao hapa bongo angalau kuna afueni tofauti na befwd
Wao wana ya 36M ya mwaka 2011
Imetembea 73k
 
Wanazo lakini si lazima uagize kupitia hizo ofisi. Watakucheki hata kwa WhatsApp, wakala wao wa huko. Wanapunguza bei from usd 100-200. Ningeweza hata kujupa namba ya mmoja wa wakala wao huko ila kwa usalama zaidi ingia mwenyewe kwenye website yao, ukitoa contacts zako mtu atakutafuta. Na documents zitatumwa ofisi ya hapa, clearing agent wako atachukulia hapo. Bei za agent hazizidi laki 3 hata ofisi za bongo wakisema wana agent wao, zingatia hilo, usije ukapigwa
Sawa kabisa jamaa ukiweka contacts zako tu wanaruka hewani. Nachowakubali wana customer care safi kabisa wanaenda na wewe taratibu hadi mnafikia muafaka. Cha muhimu atumie muda kuangalia picha za gari husika na asisite kuuliza chochote kuhusu gari.

Mara zote nimekuwa nikilipa kupitia account zao za Japan then nawatumia ile wanaita TT wanaanza kuprocess
 
Kuwa makini na mambo ya km. Gari ina miaka kumi na moja na usher halafu eti imetembea km hizo.

Ni vizuri kuwa makini ila Gari nyingi kwenye kampuni hizi kubwa za Japan hawachezei km kama Bongo huku. Gari chini ya km 100,000 ziko nyingi tu kule. Miaka peke yake sio kipimo cha gari kutembea umbali mrefu au mfupi, ni kiashiria kimojawapo ila si kila kitu hasa kwa kule japan.
Gari za kuanzia km 65K unazipata japo si nyingi, za kuanzia 70K zipo nyingi tu.
Gari kama prado za 2019 ndo unakuta zina 20K, 30K, 40K hadi 50K nyingi tu
 
Kuwa makini na mambo ya km. Gari ina miaka kumi na moja na usher halafu eti imetembea km hizo.
Na je vipi naweza kujua kama km imechezewa?
Nawezaje kujua?
Manake kuna jamaa wa sbt kanitafutia ya mwaka 2011 na ina km 43k
Nimeshtuka kidgo
 
Sbt wamenitumia hii ya 41km ya mwaka 2011.
Nimeshtuka kidgo
Nipeni muongozo
IMG-20221128-WA0035.jpeg
 
Van Guard ya 2011 ni seven seater hivo ni ndefu kidogo kuliko za 2007 taa zake za nyuma zimenyanyuka kidogo
Steering yake inabutton kama za.kuongeza Sauti, side mirror alafu kwa nje nyingi zina ufito wa Silver umezunguka milango .
Kwenye kuagiza me nashauri Autocom bei zao zimepoa kidogo hasa kwenye upande wa CIF ukilinganisha na makampuni mengine

Kwa uhakika andaa milion 37 hadi 39 ili uwe baba mwenye van guard
 
Hata za 2007 kuna 7 seater na hazina utofauti wowote kwenye urefu. Kuna options za 7 au 5 seater katika toleo kuanzia 2007. Tofauti ni body kita kidogo na urembo kwenye taa za nyuma. Kwa kifupi ni body tu ndo tofauti kubwa
 
Nimeangalia Autocom 7 seater sijapata yenye vigezo ninavyotaka
Black, year 2011/12 na millage 70k and below.
O
 
Aagize kupitia Autocom mi pia nimewahi agiza two times kupitia ACJ. Nimecheki kwenye web yao nimekuta wana Vanguard za hiyo miaka anayotaka, nikaingia Befoward nimekuta Vanguard za miaka 2007/2008 nk bei imechangamka tofauti na Autocom ambapo gari ya 2012 iko around $ 6300.

Mkuu agiza kupitia Autocom Japan uzuri jamaa wanashuka
Mkuu nimefuata ushauri wako na tayari nimeshaangiza na Autocom(ACJ) nasubiri ifike tu nchini kiasi cha miezi 2 kutoka sasa nilipie ushuru around 17.9M

Ahsante sana.
 
Back
Top Bottom