Hongera sana gari nayoitumia sasa niliagiza kupitia ACJ jamaa wana bei nzuri ni vile baadhi yetu tumekariri Befoward ila amini kuna kampuni zina gari nzuri na bei ni affordable. Vipi inasubiri space kwenye meli au ishapakiwa kwenye meli?Mkuu nimefuata ushauri wako na tayari nimeshaangiza na Autocom(ACJ) nasubiri ifike tu nchini kiasi cha miezi 2 kutoka sasa nilipie ushuru around 17.9M
Ahsante sana.
Bado mkuu ndio nimetoka kulipia jana na kutuma TT(Bank slip)Hongera sana gari nayoitumia sasa niliagiza kupitia ACJ jamaa wana bei nzuri ni vile baadhi yetu tumekariri Befoward ila amini kuna kampuni zina gari nzuri na bei ni affordable. Vipi inasubiri space kwenye meli au ishapakiwa kwenye meli?
Good move, hadi kufikia J5 kuna status itaonekana kwenye account yako ya Autocom, si ulifungua na account?Bado mkuu ndio nimetoka kulipia jana na kutuma TT(Bank slip)
Yeah, nilifungua last weekGood move, hadi kufikia J5 kuna status itaonekana kwenye account yako ya Autocom, si ulifungua na account?
Kila la kheri chief kama hakuna shida ya nafasi kwenye meli itasafirishwa mapema sana.Yeah, nilifungua last week
Kwani hizo zenye 3000cc Ni fake hadi umwambie hivo? Ni sawa na umwambie mtu kuwa makini Kuna xiaomi yenye RAM 6 na 4Check japanesevehicles.com ingawa huwa ni expensive ila grade zao ni uhakika.
Utafuti wa Vanguard, za nyuma zina key, hizi nyingine ni keyless.
Pia kuwa makini kuna zenye engine 2360 na nyingine zaidi ya 3000cc na huwa ni cheaper.
Kuna zingine seven seater, nyingine ni 5.
Nimeagizia vanguard ya 2011 SBT Japan ilikua mwezi wa Tisa imefika wa kumi na Moja.. Km 60,000 Kwa CIF ya USD 8000. Inabeba watu 7.... Nilichojifunza unaweza kubembeleza ikashuka zaidi sema mi sio mtu wa kubembeleza sana. Cha kufanya register web Yao then atakuja agent ambaye atakupa maelekezo yote either Kwa kuchati au kupiga sim. Agent wangu alikua Iqram ni binti.
Purely alert. Kama anataka over 3000, it's for him to choose.Kwani hizo zenye 3000cc Ni fake hadi umwambie hivo? Ni sawa na umwambie mtu kuwa makini Kuna xiaomi yenye RAM 6 na 4
Mkuu kodi inaweza kubadilika, jiandae mapema, mwaka 2023 hesabu zinapigwa upya.Mkuu nimefuata ushauri wako na tayari nimeshaangiza na Autocom(ACJ) nasubiri ifike tu nchini kiasi cha miezi 2 kutoka sasa nilipie ushuru around 17.9M
Ahsante sana.
070Salaaam wanabaraza.
Kama kichwa cha mada kilivyo hapo juu.
Nahitaji kuagiza gari aina ya Toyota Vanguard ya mwaka 2011/2012.
Kwa kuwa mimi sio mzoefu wa magari ndio maana nimekuja humu kuomba muongozo kwa vitu vifuatavyo.
1.Kampuni gani ni nzuri na ya uhakika kwa ajili ya kuagiza gari tajwa hapo juu.
2.Je kuna utofauti gani mkubwa kati ya Vanguard ya mwaka 2011/12 na zile za miaka ya nyuma yake 2007,8,9 nk
3.Ni mambo gani muhimu napaswa kujua na kuzingatia kabla ya kuagiza, inapofika na baada ya kukabidhiwa gari?
Na mengineyo kama yapo ikiwemo ushauri na maoni yenu.
Naombeni mchango wenu wataalamu wa humu.
Wasaalaaam.
Extrovert, @msahana. @mrangi na wengineo
0764423726.. kaka njoo wasap mm ni agent nkufanyie kaZAagize kupitia Autocom mi pia nimewahi agiza two times kupitia ACJ. Nimecheki kwenye web yao nimekuta wana Vanguard za hiyo miaka anayotaka, nikaingia Befoward nimekuta Vanguard za miaka 2007/2008 nk bei imechangamka tofauti na Autocom ambapo gari ya 2012 iko around $ 6300.
Mkuu agiza kupitia Autocom Japan uzuri jamaa wanashuka
Nimeshaagiza tayari.070
0764423726.. kaka njoo wasap mm ni agent nkufanyie kaZ
Ni kweli ila mabadiliko ya kodi huwa yanatokea tarehe 1 July ya kila mwaka.Mkuu kodi inaweza kubadilika, jiandae mapema, mwaka 2023 hesabu zinapigwa upya.
Ni kweli ila mabadiliko ya kodi huwa yanatokea tarehe 1 July ya kila mwaka.
Sidhani kama tofauti na hapo.
Na ni nadra sana kwa serikali kubadili viwango vya kodi katikati ya mwaka wa fedha.
Lakini ushauri naupokea kaka
Ni kweli ila mabadiliko ya kodi huwa yanatokea tarehe 1 July ya kila mwaka.
Sidhani kama tofauti na hapo.
Na ni nadra sana kwa serikali kubadili viwango vya kodi katikati ya mwaka wa fedha.
Lakini ushauri naupokea kaka
Ni kweli ila mabadiliko ya kodi huwa yanatokea tarehe 1 July ya kila mwaka.
Sidhani kama tofauti na hapo.
Na ni nadra sana kwa serikali kubadili viwango vya kodi katikati ya mwaka wa fedha.
Lakini ushauri naupokea kaka
vp mkuu ulipata gari yako utumiaji wake wa mafuta ukoje na comfortability in high speedNimeshaagiza tayari.
Nasubiri kufika tu.