Nahitaji kuanza kilimo cha zao la beetroots maeneo ya Dodoma, Morogoro, Singida au Shinyanga

Kwa uzoefu wangu zao hili linalimwa sehemu za baridi na has a nyanda za juu kama lushoto,mgeta, dabaga njombe na mikoa ya moshi na arusha na mbeya sins uhakika mikoa a ya Dodoma na morogoro. Lakini IIT worth trying
 
Nimekupata mkuu, ila changamoto kubwa huku kwetu ni soko kwa mfano sasahivi tunanunuzwa sh 500 kg 1, yaan kilimo kibongobongo shida sana.
Ipo siku na nyie bidhaa zenu zitauzwa Ulaya, ila changamoto ni nyingi sana kwa kweli.

Bidhaa nyingi za Tz zinaenda jirani na kusafirishwa nje.
 

Soma hapa chini pia, nahisi kama beetroots ni aina ya mbogamboga, japo sina uhakika

Teknolojia ya kilimo bila kutumia udongo, mwanga wakulima mbogamboga - JamiiForums
 


Mkuu mnanunua kweli niingie shamba nilime?
 
Mkuu mnanunua kweli niingie shamba nilime?
Saffron tunanua lakini kulima kwake kunahitaji dedication ya hali ya juu
Lakini vanilla inalimwa Tz pia tunanunua ya Madagascar kwa bei ya juu sana

Fuatilia tu huwezi kukosa wanunuzi ila nasikia wenye mashamba ya vanilla huko ulinzi ni zaidi ya white house
 
Acha

Uongo mbegu zipo kwenye maduka ya pembejeo
Kariakoo upstairs zipo tele mbegu za kila aina ya mboga na herbs. Dodoma ukiaenda ile barabara inaenda soko kuu wanakuwa na maduka ya kilimo jaribu kuulizia. It is a long time since I was there hivyo vitu vimebadilika.
 
Mkuu naomba kujua jinsi ya kuotesha Saffron sababu hiki ni kiungo nyeti ingawa watu wengi hawakifahamu. It is a very expensive herb. Je naweza kuiotesha Dar? Niliona Dubai wanauza sana ila sina uhakika kama ni waoteshaji wenyewe.
 
Mkuu naomba kujua jinsi ya kuotesha Saffron sababu hiki ni kiungo nyeti ingawa watu wengi hawakifahamu. It is a very expensive herb. Je naweza kuiotesha Dar? Niliona Dubai wanauza sana ila sina uhakika kama ni waoteshaji wenyewe.
Kweli ndio kiungo ghali duniani yaani zaidi ya dhahabu
Iran na Spain ndio waoteshaji wakubwa
Ingawa Spain ananunua pia kutoka Iran na kuweka nembo yao kama imezalishwa Spain.

Kwanza ni bora kujua inastawi kwa hali gani ya hewa maana najua iran wakati mwingine ni baridi haswa.

Na pili ni kujua utapata wapi hizo mbegu lakini kwa kuwa dunia yote iko kwenye kiganja utapata tu.

Pia ukishapanda utavuna kila msimu kwa miaka 15 kama utaitunza vizuri
 
Vanilla pia ni next to saffron likifuatiwa na iliki
Huwa nanunua vanilla ya Madagascar kwa biashara pia saffron kwa ujumla tunanunua kila kitu ila bongo kiboko huwezi kupata supplier wa uhakika na mkweli.

Madagascar kuna jamaa mhindi unamtumia hela mzigo siku ya 3 unao bila matatizo
Vipi unafanya biashara hii pia
 
I see, nina maua kama haya uliyoweka ndo nimepandikiza ila mbegu nimetoa kwa "Mama" kama unaelewa. Huku nilipo ni mvua nyingi na hakuna baridi hata siku moja the lowest temp. is 25 hivyo nisubiri sana tu.

Nimenunua nyigine juzu juzi Bangkok duh just fifty grams was equivalent to 25£.
 
Bukoba vijijini wanalima. Nina aunt wangu analima ila sijui wanauza wapi. Mimi nimeona mche pale kwetu ila mimi na Chocolate na Vanilla mbali mbali hivyo sishobokei hivyo vitu. Harufu tu napata kichefu chefu ila saflon napenda ile kama Sulphur kwangu kama dawa vile.
 
Mkuu Beetroots ndo zao gani kwa kiswahili, wengine tulikimbia umande mkuu.
Ni kama viazi vikuu hivi ila vyenyewe vina rangi ya paple; uotaji wake ni kama malando vile .... nilivifahamu kipindi nikimuuguza mgonjwa; niliambiwa vinaongeza damu kwa haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…