makundubhyali
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,389
- 883
Asante mkuu hapa Tanzania vinalimwa wapi?Ni kama viazi vikuu hivi ila vyenyewe vina rangi ya paple; uotaji wake ni kama malando vile .... nilivifahamu kipindi nikimuuguza mgonjwa; niliambiwa vinaongeza damu kwa haraka sana.
Bukoba wanalima; kwenye soko la Mwanza jijini viko vingi - sijauliza wanatoa wapi .. ila vina bei sana .. kilo moja kama Tshs 6,000 kama sikoseiAsante mkuu hapa Tanzania vinalimwa wapi?
Loh...!!! asante mkuu.Bukoba wanalima; kwenye soko la Mwanza jijini viko vingi - sijauliza wanatoa wapi .. ila vina bei sana .. kilo moja kama Tshs 6,000 kama sikosei
Kwa hiyo hata ice cream hupendi?Bukoba vijijini wanalima. Nina aunt wangu analima ila sijui wanauza wapi. Mimi nimeona mche pale kwetu ila mimi na Chocolate na Vanilla mbali mbali hivyo sishobokei hivyo vitu. Harufu tu napata kichefu chefu ila saflon napenda ile kama Sulphur kwangu kama dawa vile.
Sili kabisa harufu yake huwa nataka kutapika. You cant believe na ishi wanakokula hivi vitu kila siku lakini nilishindwa..Kwa hiyo hata ice cream hupendi?
Itabidi ufuatilie kwa aunt ili walime sana maana lina faida kubwa hili zao la vanilla.
Duu poleSili kabisa harufu yake huwa nataka kutapika. You cant believe na ishi wanakokula hivi vitu kila siku lakini nilishindwa..
Ipo siku na nyie bidhaa zenu zitauzwa Ulaya, ila changamoto ni nyingi sana kwa kweli.
Bidhaa nyingi za Tz zinaenda jirani na kusafirishwa nje.
hii ni kutokana na serikali yetu kua na imani potofu juu ya sekta ya kilimo!Thank you dear
Maadamu tungekuwa na watumishi wa wizara yetu kuhamasisha usafirishaji wa mazao yetu nje ya nchi bila usunbufu kwa hakika tungekuwa mbali sana kimaendeleo
Upo wilaya gani?Samahani mwenye kunielimisha juu ya kilimo cha Vanilla anisaidie elimu kuanzia mwanzo hadi mwisho maana nataka kujitosa kwenye kilimo hiki.
Nataka kulima Bukoba nduguUpo wilaya gani?
Maruku chuo cha kilimo kuna farm ya vanilla nenda pale utapata usaidizi mzuri tu.Upo wilaya gani?
Lakini wao wanataka waishi maisha ya rahahii ni kutokana na serikali yetu kua na imani potofu juu ya sekta ya kilimo!
Mimi binafsi nilinunua mapararachichi supermarket moja nje nikaona baadhi ni SA na zingine Tz nilistaajabu sanaNi kweli!Maparachichi ya Rungwe yanauzwa Uarabuni kwa nembo ya nchi jirani.
Ntajitahidi mkuu kuja nazo kama itapita airport
Zina aina nyingi View attachment 862009
Safi sana, yaani una maanisha mbeguVipo kariakoo
ANataka kulima Bukoba ndugu
Lakini wao wanataka waishi maisha ya raha
Halafu wanajisifia uzalendo kweli kweli
No namaanisha beetroots zenyewe, nilishaziona zimetandazwa barabarani kariakoo, bei veeeeeery cheap, pitia pale upate elimu na uzoefu wa wakulima toka lushotoSafi sana, yaani una maanisha mbegu