Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hapo tunaongelea kuhusu bidhaa zetu kuuzwa kwa jina la nchi nyingineMsipende kuilaumu serikali kila kitu, kila kanda kuna kituo cha utafiti, siamini kama wadau hawa wanaoshinda jf wanashindwa kutembelea vituo hivyo na kupata elimu bure
OohN
No namaanisha beetroots zenyewe, nilishaziona zimetandazwa barabarani kariakoo, bei veeeeeery cheap, pitia pale upate elimu na uzoefu wa wakulima toka lushoto
Hata lushoto zipo acha ubishiMkuu usidhani nakudharau, mimi ni mwenyeji wa Morogoro na sijawahi kuziona ndo maana nasita , hata hivyo nashukuru kwa ushauri wako.
Lakini wao wanataka waishi maisha ya raha
Halafu wanajisifia uzalendo kweli kweli
mkuu sidhani kama shida ni ukosefu wa taarifa/elimu juu ya kilimo kwa wakulima!Msipende kuilaumu serikali kila kitu, kila kanda kuna kituo cha utafiti, siamini kama wadau hawa wanaoshinda jf wanashindwa kutembelea vituo hivyo na kupata elimu bure
Hahaahha hatarindo neno lao tamu siku hizi wakisimama majukwaani.
tena ukitaka wakuzike ukiwa hai waambie wao sio wazalendo!
Sawa mkuu nimefanya utafiti hata soko la mwanza zipo ila bei yake nasikia ni kubwa kilo ni tsh 6000Hata lushoto zipo acha ubishi
mkuu sidhani kama shida ni ukosefu wa taarifa/elimu juu ya kilimo kwa wakulima!
usemavyo ni sahihi kua tuna vituo vingi vya ARI ambavyo vinatoa elimu aither kwa kufuatwa au kufuata wakulima kulingana na hali ya kilimo na mwenendo wa mazao nchini.
Kuna haja ya serikali kupitia ofisi hizi za kilimo kila halmashauri na hizi za ARI kuwa na msukumo wa nyenzo za kusaidia wananchi.
kwa mfano zao kama hili linaonekana ni geni lakini lipo maeneo baadhi nchini linafanya vizuri na linaonekana kua na soko, kwa hiyo ni wakati mwafaka wa serikali kulifanyia kazi maana sio kila mwananchi anaetamani kulima anauelewa na anaweza kumudu gharama za inputs pamoja na soil analysis ili kujua kama zao eneo lake litastahimili au lah!
Nadhani wewe ndio ungefuatilia mjadala kwanza.Hakuwa na maana hiyo
Kosa hapo hakuweka alama ya kuuliza
Ungefuatia mjadala kwanza
Tupo kuelimishana hapa
Shukran
Tuendelee kuamshana kuhusu fursa za nje!Mimi binafsi nilinunua mapararachichi supermarket moja nje nikaona baadhi ni SA na zingine Tz nilistaajabu sana
Uko wapi mkuu?Write your reply...natafuta mbegu za beets root
..
Watumie vipi mkuu hebu toa ufafanuzi, tuwafuate maofisini?Nashukuru kwa mrejesho, ni vzr sisi wadau tutumie mifumo rasmi iliyowekwa na serikali, kiukweli wataalamu wetu hawatumiwi ipasavyo na walengwa
Mkuu kama ni beetroots mbona zinaota bila shidaM
Mbegu Zipo kopo sh. Elfu 4 ila kuota Ni ngumu sana
Mkuu mimi naishi lindi vijijini na kuna bwana shamba kila kata,Watumie vipi mkuu hebu toa ufafanuzi, tuwafuate maofisini?
Maafisa kilimo na maafisa biashara wanapaswa kwenda mashambani na masokoni kuwashauri wakulima na kuwafungulia njia na network za masoko hasa ya nje ya nchi, ndio kazi yao.
Swali
Umeshawahi kumuona afisa kilimo/biashara akitoa elimu kwenye field/eneo lako? Kama jibu ni NDIO upo mkoa/wilaya gani, kama ni HAPANA kazi yao hasa ni nini?
Unaposema tusiilaumu serikali kwa kutotengeneza mazingira rafiki ya biashara je tunapaswa kuipongeza kwa kufunga mipaka na kutia umasikini wakulima na wafanyabiashara?
Nakumatt supermarket zinapofungwa nchi nzima ni watu wangapi wanakosa ajira, sababu ni nini? hivi umeshakwenda nchi nyingine ukaona ilivyo easy kufanya biashara including kilimo..hapa kwetu ni disaster.
Sio kila jambo linahitaji ushabiki mkuu!, tuseme kweli kuisaidia serikali na nchi yetu.
Swala sio uwepo wao, ishu ni uwajibikaji wao.Nafahamu wapo kila mahaliMkuu mimi naishi lindi vijijini na kuna bwana shamba kila kata,