Nahitaji kuanzisha hii biashara ushauri kwenu

Nahitaji kuanzisha hii biashara ushauri kwenu

Mkuu njoo Kijitonyama mabatini maji ya kumwaga bei cheee
habari wana jf mimi ni mjasiliamali ambae nimepiga hatua katika biashara yangu ya kwanza.
Ninamiliki kiwanda kidogo cha kuzalisha viatu vya kimasai kiukweli nashukuru kwa hatua niliyo fikia japo haikuwa rahisi . Haya ni moja ya mafanikio biashara kuweza kuzalisha biashara sio mchezo.
*Nimefikilia nimeona nianzishe biashara ya kuuza maji kwenye bajaji (toyo)
MSAADA:
KAMA UNAFAHAMU SEHEMU WANAPO NUNUA NDOO KUBWA YA MAJI SHILINGI 500 NAOMBA NISAIDIE KUNITAARIFU.
POPOTE PALE MIMI NITAFIKA. KARIBUNIView attachment 961645

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom