Mr dark light
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 298
- 253
Mkuu kanamba basi nikuchekiKaribu nipo gongo la mboto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kanamba basi nikuchekiKaribu nipo gongo la mboto
Bajaj umenunua wapi na kiasi gani ?napatikana dar gongo la mboto mkuu.
Babaji ni used nilinunua kwa milioni 1 kwa mtu hukuhuku gongo la mbotoBajaj umenunua wapi na kiasi gani ?
habari wana jf mimi ni mjasiliamali ambae nimepiga hatua katika biashara yangu ya kwanza.
Ninamiliki kiwanda kidogo cha kuzalisha viatu vya kimasai kiukweli nashukuru kwa hatua niliyo fikia japo haikuwa rahisi . Haya ni moja ya mafanikio biashara kuweza kuzalisha biashara sio mchezo.
*Nimefikilia nimeona nianzishe biashara ya kuuza maji kwenye bajaji (toyo)
MSAADA:
KAMA UNAFAHAMU SEHEMU WANAPO NUNUA NDOO KUBWA YA MAJI SHILINGI 500 NAOMBA NISAIDIE KUNITAARIFU.
POPOTE PALE MIMI NITAFIKA. KARIBUNIView attachment 961645
Mkuu hapo hapanifai maji ni bei ya chini mimi nahitaji sehem wanapo nunua ndoo kwa 300 na kuendelea
Kigambona maji ya dawasco utauza sana kwani kule maji yao ni kisima na yana chumvi sanaNenda kigamboni hivi mbona hata goms maji dumu yanauzwa jero