Nahitaji kuanzisha marathon hivyo yeyote mwenye uelewa juu ya jambo hili naomba anielekeze taratibu zote mpaka kukamilika kwa jambo hilo

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,118
Reaction score
1,797
Habari zenu wakurungwa!

Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi nipo wilaya X , jiji la Mwanza, nimehamasika sana kuandaa mashindano ya marathon ila tatizo linakuja kwamba. hakuna chochote ninachofaham kuhusiana na jambo hilo

Hivyo naomben msaada kwa anayefaham namna ya kuandaa mashindano hayo ili niweze kutimiza adhma yangu

Nawasilisha
 
Habari zenu wakurungwa..!!

Lengo la marathon ndo muhimu

Mfano waweza kuandika pendekezo Proposal vizuri

Kisha ukawakilisha katika mamlaka zako za mkoa then mchakato ukaanza baada ya kupewa kibali ambacho kitaonesha running day.

Unaweza kuweka gharama fulani ambazo zitaisaidia uendeshaji wa marathoni na faida itakayopatikana utaweza kuigawa ikiwemo kuirudisha Kwa jamii .
 
Marathon sio lazima kuwa watu wengi ,wewe na mkeo mwaweza amka mkaanza kukimbia marathon wala hamhitaji kibali ni kikubaliana tu wewe na mkeo mnatimua mbio
 
Hilo ndio kusudio langu, kwamba sehemu ya pato itaenda kwenye ukatabati wa shule niliyosoma maana naona shule imechakaa sana
 
Ukitaka kupata watu sehemu ya pato iende kusaidia wagonjwa wa figo au saratani

Mambo ya shule waachie serikali wakarabati

Marathon watu wanafanya giving back to community sasa uangalie sehemu nzuri ya kuigusa jamii positively
 
Huwa sikimbii marathon za waganga njaa. Mara rrondo marathon sijui atoto run etc. Nakimbia zile kubwa zinazotoa mamilioni kwa jamii sio hawa wanaotaka kukusanya viingilio wakanunue Subaru.
Hata hao wanaotoa mamilioni kwa jamii nao pia huwa wanatoa hela za kununulia magari na kujenga mijengo
 
Habari zenu wakurungwa..!!

Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi nipo wilaya X , jiji la Mwanza, nimehamasika sana kuandaa mashindano ya marathon ila tatizo linakuja kwamba. hakuna chochote ninachofaham kuhusiana na jambo hilo

Hivyo naomben msaada kwa anayefaham namna ya kuandaa mashindano hayo ili niweze kutimiza adhma yangu

Nawasilisha
Andaa Tshirt zenye jina na picha ya mama
Andika caption nzuri
Hakikisha neno 2025 halikosekani
Watafute uvccm wape pesa kidogo.. Na jambo lako litakuwa limeisha
Samahani nimetumia Mfano bayana kutokana na uzoefu.. Niwie radhi kama utakwazika
 
Huwa sikimbii marathon za waganga njaa. Mara rrondo marathon sijui atoto run etc. Nakimbia zile kubwa zinazotoa mamilioni kwa jamii sio hawa wanaotaka kukusanya viingilio wakanunue Subaru.
Mpeni muongozo mwenzenu.
 
Tafuta key stakeholders ambao ni profit oriented ambao utawafanyia marketing product zao na pia non-profit oriented kama ngos,tanapa,embassies etc.
 
Pia -waweza Kuwsmasiliana na Kampuni au taasisi ambayo ita-fund marathon yako Kama air tel , nmb ,crdb .nk
 
Marathon sio lazima kuwa watu wengi ,wewe na mkeo mwaweza amka mkaanza kukimbia marathon wala hamhitaji kibali ni kikubaliana tu wewe na mkeo mnatimua mbio
Nadhani TUISHIE HAPA
 
Ukitaka kupata watu sehemu ya pato iende kusaidia wagonjwa wa figo au saratani

Mambo ya shule waachie serikali wakarabati

Marathon watu wanafanya giving back to community sasa uangalie sehemu nzuri ya kuigusa jamii positively
Asante kwa wazo lako zuri
 
Back
Top Bottom