Habari zenu wakurungwa..!!
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,
Mimi nipo wilaya X , jiji la Mwanza, nimehamasika sana kuandaa mashindano ya marathon ila tatizo linakuja kwamba. hakuna chochote ninachofaham kuhusiana na jambo hilo
Hivyo naomben msaada kwa anayefaham namna ya kuandaa mashindano hayo ili niweze kutimiza adhma yangu
Nawasilisha
Hilo ndio kusudio langu, kwamba sehemu ya pato itaenda kwenye ukatabati wa shule niliyosoma maana naona shule imechakaa sanaLengo la marathon ndo muhimu
Mfano waweza kuandika pendekezo Proposal vizuri
Kisha ukawakilisha katika mamlaka zako za mkoa then mchakato ukaanza baada ya kupewa kibali ambacho kitaonesha running day.
Unaweza kuweka gharama fulani ambazo zitaisaidia uendeshaji wa marathoni na faida itakayopatikana utaweza kuigawa ikiwemo kuirudisha Kwa jamii .
Hilo ndio kusudio langu, kwamba sehemu ya pato itaenda kwenye ukatabati wa shule niliyosoma maana naona shule imechakaa sana
Hata hao wanaotoa mamilioni kwa jamii nao pia huwa wanatoa hela za kununulia magari na kujenga mijengoHuwa sikimbii marathon za waganga njaa. Mara rrondo marathon sijui atoto run etc. Nakimbia zile kubwa zinazotoa mamilioni kwa jamii sio hawa wanaotaka kukusanya viingilio wakanunue Subaru.
Hizo za kununulia magari nammijengo wanatoa kwenye mishahara na posho zao ambazo ni bajeti kubwa nje ya viingilio.Hata hao wanaotoa mamilioni kwa jamii nao pia huwa wanatoa hela za kununulia magari na kujenga mijengo
Andaa Tshirt zenye jina na picha ya mamaHabari zenu wakurungwa..!!
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,
Mimi nipo wilaya X , jiji la Mwanza, nimehamasika sana kuandaa mashindano ya marathon ila tatizo linakuja kwamba. hakuna chochote ninachofaham kuhusiana na jambo hilo
Hivyo naomben msaada kwa anayefaham namna ya kuandaa mashindano hayo ili niweze kutimiza adhma yangu
Nawasilisha
Mpeni muongozo mwenzenu.Huwa sikimbii marathon za waganga njaa. Mara rrondo marathon sijui atoto run etc. Nakimbia zile kubwa zinazotoa mamilioni kwa jamii sio hawa wanaotaka kukusanya viingilio wakanunue Subaru.
Akawaone wadau wa RT....Riadha Tanzania watampa muongozo.Mpeni muongozo mwenzenu.
Nadhani TUISHIE HAPAMarathon sio lazima kuwa watu wengi ,wewe na mkeo mwaweza amka mkaanza kukimbia marathon wala hamhitaji kibali ni kikubaliana tu wewe na mkeo mnatimua mbio
Asante kwa wazo lako zuriUkitaka kupata watu sehemu ya pato iende kusaidia wagonjwa wa figo au saratani
Mambo ya shule waachie serikali wakarabati
Marathon watu wanafanya giving back to community sasa uangalie sehemu nzuri ya kuigusa jamii positively