Nahitaji kufahamu huyu dogo ni mtu wa aina gani

Nahitaji kufahamu huyu dogo ni mtu wa aina gani

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,339
Salaam! Kuna ile hali huwa inamtokea mdogo wangu, kuna watu ambao mara nyingi humtabiria mema kama vile kuja kuwa kiongozi mkubwa n.k

Mfano mara nyingi hukutana na hizi kauli "ahsante sana utakuja kufanikiwa", " wewe ni mkombozi", "wewe ni kiongozi" n.k

Kauli hizi huambiwa hata na watu ambao hawajawahi kukutana hata siku moja. Pia huyu dogo ana sifa fulani za tofauti na ana tabia fulani za ajabu ajabu, mfano ulaji wake ni wa kushangaza, hali chakula kutoka nje ya kwetu.

Pia shuleni aliwahi kuwa wa mwisho kisa alikataa possible ya mtihani uliovuja, yaani ni kama hajali, na hayupo serious hivi. Kikubwa kilichonileta hapa ni kuwa ana tabia za kujitenga sana japo ana heshima. Jamani naombeni ufumbuzi wa kumfahamu huyu dogo.

Wataalamu nawasilisha!
 
na hayupo serious hivi. Kikubwa kilichonileta hapa ni kuwa ana tabia za kujitenga sana japo ana heshima. Jamani naombeni ufumbuzi wa kumfahamu huyu dogo.
Umri wake tafadhari, hii itawasaidia wataalum wa tabia kuweza kukupa dodoso vyema
 
Kati ya marafiki zake wengi ni wa kike au kiume ..[emoji848]
 
Uwezo wa kumjua anao yeye mwenyewe, asilimia themanini yake ndio anayoshiriki nayo kwenye jamii, ila hiyo ishirini ni anaijua yeye mwenyewe, hata wewe mwenyewe binafsi hakuna mtu anaekujua zaidi ya unavyojijua wewe mwenyewe, hivyo usitake kuchunguza wakati wewe mwenyewe hakuna mtu anaekujua zaidi ya unavyojijua.
 
Salaam! Kuna ile hali huwa inamtokea mdogo wangu, kuna watu ambao mara nyingi humtabiria mema kama vile kuja kuwa kiongozi mkubwa n.k

Mfano mara nyingi hukutana na hizi kauli "ahsante sana utakuja kufanikiwa", " wewe ni mkombozi", "wewe ni kiongozi" n.k

Kauli hizi huambiwa hata na watu ambao hawajawahi kukutana hata siku moja. Pia huyu dogo ana sifa fulani za tofauti na ana tabia fulani za ajabu ajabu, mfano ulaji wake ni wa kushangaza, hali chakula kutoka nje ya kwetu.

Pia shuleni aliwahi kuwa wa mwisho kisa alikataa possible ya mtihani uliovuja, yaani ni kama hajali, na hayupo serious hivi. Kikubwa kilichonileta hapa ni kuwa ana tabia za kujitenga sana japo ana heshima. Jamani naombeni ufumbuzi wa kumfahamu huyu dogo.

Wataalamu nawasilisha!
Sasa wewe unayeishi naye umeshindwa kumjua, sisi ambao hata hatujawahi kumuona ndo tutaweza kukusaidia wewe kumjua kweli?
 
Huyo dogo ana tabia kama zangu kabisa ila anyways huwa kuna mambo mengi sana tunayabeba moyoni ila tumetofautiana hapo kwenye kuwa wa mwisho darasani aise, sijawahi. Mwisho ni kwamba utafanya namna zote ila hauji kumfahamu kiundani hata kidogo.
 
Back
Top Bottom