Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
- Thread starter
-
- #21
Anaogopesha, ana tabia za ajabu, akisema sitaki vibomu ni hataki kweli, na hakwepeshi.Huyo dogo ana tabia kama zangu kabisa ila anyways huwa kuna mambo mengi sana tunayabeba moyoni ila tumetofautiana hapo kwenye kuwa wa mwisho darasani aise, sijawahi. Mwisho ni kwamba utafanya namna zote ila hauji kumfahamu kiundani hata kidogo.
Au sio [emoji28]Kama ni Me mletee house girl mchangamfu hapo nyumbani, hilo linapiga nyeto, wapiga nyeto wanaongoza sana kwa utulivu, wakikaa unaweza dhani wanaweza kuja kutawala hii nchi, kumbe linawaza kopo la mafuta!!
Hapigi nyeto, ana gf wake, ila ana misimamo mikali na sheria ngumu sana. Hata gf wake anavumilia sana kwa sababu dogo ni mafia na mtata sana kwa misimamo na itikadi zakeKama ni Me mletee house girl mchangamfu hapo nyumbani, hilo linapiga nyeto, wapiga nyeto wanaongoza sana kwa utulivu, wakikaa unaweza dhani wanaweza kuja kutawala hii nchi, kumbe linawaza kopo la mafuta!!
Hahaha kwamba asiwape shida wakamuona special sanaaa nimecheka sana.huyo ni mla nyeto tuu asiwasumbue mkamateni mmchape fimbo za kutosha aache kuwasumbua kichwa.
au nyie hamteseki na tozo?
Wnajikuta magenious au sio??Kama ni Me mletee house girl mchangamfu hapo nyumbani, hilo linapiga nyeto, wapiga nyeto wanaongoza sana kwa utulivu, wakikaa unaweza dhani wanaweza kuja kutawala hii nchi, kumbe linawaza kopo la mafuta!!
Hapigi nyeto na anapiga sana vita, tunataka kumfahamu kiundani ni nani hasa!Hahaha kwamba asiwape shida wakamuona special sanaaa nimecheka sana.
😂😂Kama ni Me mletee house girl mchangamfu hapo nyumbani, hilo linapiga nyeto, wapiga nyeto wanaongoza sana kwa utulivu, wakikaa unaweza dhani wanaweza kuja kutawala hii nchi, kumbe linawaza kopo la mafuta!!
Huo umafia anafanyia wapi tumpigie kamanda siro.Ni utoto tu maisha yatampiga tukio akili itakaa sawa.Hapigi nyeto, ana gf wake, ila ana misimamo mikali na sheria ngumu sana. Hata gf wake anavumilia sana kwa sababu dogo ni mafia na mtata sana kwa misimamo na itikadi zake
Anajitambua, siku hizi majitu majinga yamejaa kila kona, majiti ambayo muda wote yanazungumzia mpira ( sasa hivi ni Manara kuhamia yanga), mavijana mengi pia yanazungumzia kuhusu cerebrities.Salaam! Kuna ile hali huwa inamtokea mdogo wangu, kuna watu ambao mara nyingi humtabiria mema kama vile kuja kuwa kiongozi mkubwa n.k
Mfano mara nyingi hukutana na hizi kauli "ahsante sana utakuja kufanikiwa", " wewe ni mkombozi", "wewe ni kiongozi" n.k
Kauli hizi huambiwa hata na watu ambao hawajawahi kukutana hata siku moja. Pia huyu dogo ana sifa fulani za tofauti na ana tabia fulani za ajabu ajabu, mfano ulaji wake ni wa kushangaza, hali chakula kutoka nje ya kwetu.
Pia shuleni aliwahi kuwa wa mwisho kisa alikataa possible ya mtihani uliovuja, yaani ni kama hajali, na hayupo serious hivi. Kikubwa kilichonileta hapa ni kuwa ana tabia za kujitenga sana japo ana heshima. Jamani naombeni ufumbuzi wa kumfahamu huyu dogo.
Wataalamu nawasilisha!
Sio umafia huo unaofikiria, namaanisha ana itikadi kali na misimamo isiyoyumba.Huo umafia anafanyia wapi tumpigie kamanda siro.Ni utoto tu maisha yatampiga tukio akili itakaa sawa.
Ata sie tulikuwa hivyohivyo pia ila maisha ni mwalimu,its matter of timeSio umafia huo unaofikiria, namaanisha ana itikadi kali na misimamo isiyoyumba.
KWANZA.Salaam! Kuna ile hali huwa inamtokea mdogo wangu, kuna watu ambao mara nyingi humtabiria mema kama vile kuja kuwa kiongozi mkubwa n.k
Mfano mara nyingi hukutana na hizi kauli "ahsante sana utakuja kufanikiwa", " wewe ni mkombozi", "wewe ni kiongozi" n.k
Kauli hizi huambiwa hata na watu ambao hawajawahi kukutana hata siku moja. Pia huyu dogo ana sifa fulani za tofauti na ana tabia fulani za ajabu ajabu, mfano ulaji wake ni wa kushangaza, hali chakula kutoka nje ya kwetu.
Pia shuleni aliwahi kuwa wa mwisho kisa alikataa possible ya mtihani uliovuja, yaani ni kama hajali, na hayupo serious hivi. Kikubwa kilichonileta hapa ni kuwa ana tabia za kujitenga sana japo ana heshima. Jamani naombeni ufumbuzi wa kumfahamu huyu dogo.
Wataalamu nawasilisha!
Kama tokea zamani alikua na tabia hizo basi sio tatizo hilo ni tabia tu kuna watu wanatabia hizo.Salaam! Kuna ile hali huwa inamtokea mdogo wangu, kuna watu ambao mara nyingi humtabiria mema kama vile kuja kuwa kiongozi mkubwa n.k
Mfano mara nyingi hukutana na hizi kauli "ahsante sana utakuja kufanikiwa", " wewe ni mkombozi", "wewe ni kiongozi" n.k
Kauli hizi huambiwa hata na watu ambao hawajawahi kukutana hata siku moja. Pia huyu dogo ana sifa fulani za tofauti na ana tabia fulani za ajabu ajabu, mfano ulaji wake ni wa kushangaza, hali chakula kutoka nje ya kwetu.
Pia shuleni aliwahi kuwa wa mwisho kisa alikataa possible ya mtihani uliovuja, yaani ni kama hajali, na hayupo serious hivi. Kikubwa kilichonileta hapa ni kuwa ana tabia za kujitenga sana japo ana heshima. Jamani naombeni ufumbuzi wa kumfahamu huyu dogo.
Wataalamu nawasilisha!
huyo ni nyeto hakuna kingine kuwa makini usikute anapiga mpka bao 3 kwa siku
Kama dogo anaitwa Hamza, chondechonde mwekeni mbali na silaha...Salaam! Kuna ile hali huwa inamtokea mdogo wangu, kuna watu ambao mara nyingi humtabiria mema kama vile kuja kuwa kiongozi mkubwa n.k
Mfano mara nyingi hukutana na hizi kauli "ahsante sana utakuja kufanikiwa", " wewe ni mkombozi", "wewe ni kiongozi" n.k
Kauli hizi huambiwa hata na watu ambao hawajawahi kukutana hata siku moja. Pia huyu dogo ana sifa fulani za tofauti na ana tabia fulani za ajabu ajabu, mfano ulaji wake ni wa kushangaza, hali chakula kutoka nje ya kwetu.
Pia shuleni aliwahi kuwa wa mwisho kisa alikataa possible ya mtihani uliovuja, yaani ni kama hajali, na hayupo serious hivi. Kikubwa kilichonileta hapa ni kuwa ana tabia za kujitenga sana japo ana heshima. Jamani naombeni ufumbuzi wa kumfahamu huyu dogo.
Wataalamu nawasilisha!
🤣🤣🤣Kama dogo anaitwa Hamza, chondechonde mwekeni mbali na silaha...
Atatumalizia polisi wetu...
Wanakuja..
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wanapomwambia atakuja kua kiongozi hua hawasemi atakua kiongozi wa wa kitu gani?
Mwambie asome na kujiwekea malengo,asisubiri utabiri wa watu.