Kwa kweli biashara hii nimeisikia ila tofauti kabisa
Sio kuwa unaenda na kuwaona wanaonunua la bali wanachukua kibabe au unaibiwa na wewe kuja kujua labda upate tatizo halafu uhitaji vipimo
Hapo ndio huenda tabibu anaweza kukuuliza uliwahi kutolewa Figo maishani mwako?
Unaruka kwa mshangao na kusema mimi nilifanyiwa upasuaji mdogo wa hernia tu au labda lingine ila hili la Figo ndio nasikia leo
Basi umeibiwa mkuu Figo moja pole sana
Ilikuwa wapi hii
India daa pole yako
La pili ni wale wanaotaka kuzamia Ulaya wakipitia nchi za Africa magharibi
Huko unakutana na wale wanaowavusha watu ila wanakuweka kwao mpaka usafiri wako unapofika
Hapo unaulizwa matumizi na hela upfront ya kupelekwa ulaya
Kama huna ndio wanakuambia wapigie ndugu zako na kama hawatumi sisi tunanyonfoa Figo hizo tunaenda kuuza
Sasa mkuu chaguo ni lako mimi wanapouza sujui ila ni baishara very complicated [emoji28]