Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million, hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu au kukopa

Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million, hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu au kukopa

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million

Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti

Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo

Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu ama kukopa
 
Kwanza kabisa ni lazima uwe na mali isiyohamishika yenye thamani inayozidi kiasi unachotaka kukopa.
 
Uwe na Assets zenye thamani marambili ya pesa unayotaka kuichukua!!
Tatizo thamani ya assets kuwa kubwa sana kuliko thamani ya mkopo nalo ni tatizo hapo ndipo tunapopigwa mkopeshaji ananufaika mara mbili baada ya mteja kushindwa marejesho
 
Tatizo thamani ya assets kuwa kubwa sana kuliko thamani ya mkopo nalo ni tatizo hapo ndipo tunapopigwa mkopeshaji ananufaika mara mbili baada ya mteja kushindwa marejesho
Kweli mkuu, Ijapo kuna msemo unasema "No risk no Story to tell".
 
Back
Top Bottom