elewa swali we mwanamke150m? Labda bank
Tatizo thamani ya assets kuwa kubwa sana kuliko thamani ya mkopo nalo ni tatizo hapo ndipo tunapopigwa mkopeshaji ananufaika mara mbili baada ya mteja kushindwa marejeshoUwe na Assets zenye thamani marambili ya pesa unayotaka kuichukua!!
Sawa mamaelewa swali we mwanamke
Kweli mkuu, Ijapo kuna msemo unasema "No risk no Story to tell".Tatizo thamani ya assets kuwa kubwa sana kuliko thamani ya mkopo nalo ni tatizo hapo ndipo tunapopigwa mkopeshaji ananufaika mara mbili baada ya mteja kushindwa marejesho