Nahitaji kufanya biashara, nina 1 million, nipo DSM

Nahitaji kufanya biashara, nina 1 million, nipo DSM

Owk musiogope kumfollow mtu inbox, KUNA ISSHUES AMBAZO SOMETIMES SIO LAZIMA ZIONGELEWE hapa coz kuna critics zisizokuwa za lazima, kama mjumbe mmoja anaposema usiingie GNLD wala forever. People wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Nahitaji kuanziasha biashara ila sijapata ramani hata kama nikulima am ready.Ningependelea wazo liwe litafit kwa mazingira ya DSM (kokote) au Morogoro ila huko nikwabiashara ya mwaka 1.

Nawasilisha
Ndugu wanajamvi poleni na majukumu!!!
Jamani hii "BIADHARA YA MTANDAO" iacheni hivi hivi. Kuna mada nyingi humu kuihusu lakini watu walizipondaaaa!!! na mm nikiwemoooo!!!!
Lakini sasa nimenyoosha mikonoooo!!! Wameshindaaaaa!!
Cha ajabu zaidi haijalishi Elimu, Jinsia, Maumbile n.k. Yeyote yule anafanyaaaaaa!!
Watanzania hivi tumepofushwa na nn hadi tusiione au hata tukiiona hatuielewiiiiii hii "FURSA"?????? Nashangazwa na vilio vya kutafuta ajira kila siku humu ndani wakati fursa za kujiajiri zipooooo!!!!!! Mara utasikia mm nina pHd sina ajira wakati wanafunzi wa mwaka wa 1 wanaingiza hadi mil 5 kwa mwezi katika hii biashara!!! Duuuuuuh!!!
Kuna watu zaidi ya mil 58 duniani wanafanya hii kitu na kufanya mauzo kati ya dola BILIONI 80 _ 110 Sawa na Tshs. TRILIONI 176 _ 242 kwa mwaka. HUKU NDIPO WANAPOKAA MABILIONEAAAAAAA!!!!
Hebu cheki hivi vidude vichache tu utakavyopata ukiwa mfanya hii Business!!!**
1. Mtaji mdogo unakufanya MILIONEA!!
2. Kipato kisicho na kikomo
3. Kujipatia kipato kikubwa kila mwezi.
4. Kupata nafasi ya kupata vipato vya njia
nyingi kama mapato ya timu, uongozi, gsri,
afari za kimataifa na gawio la faida na
mikutano ya viongozi.
5. Biashara yenye mafanikio isiyoumiza
kichwa,isiyohitaji kuajiri, kupangiwa masaa
ya kufanya kazi, mtaji mkubwa naelimu
kubwa. Ni biasharanzuri na iliyo nyepesi
6. Kumiliki biadhara yako na kuwa bosi wako
mwenyewe
7. Kupata nafasi ya kushirikiana na watu wenye
upendo, upeo na mawazo makubwa
8. Kupata nafasi ya kukua bila mipaka na
kutambulika
9. Kuwakilisha bidhaa za pekee na zenye ubora
wa hali ya juu.
10. Kufanya kazi kwa uwezo ulionao.
11. Kujinunulia gari ninalotaka.
12. Kujenga nyumba yenye thamani.
13. Kusaidia na kushirikisha wengine popote!!!
ATAKAYEHITAJI KUIFANYA AU MAELEZO ZAIDI
NI 0768577654 (sms/whatsapp)
 
Usishawishi watu haya mambo yasiyo na maana. Ungekuta hii biashara inatoa mamilionea kirahisi hivyo tungeshajua.
 
Mimi nina 5 Milioni nataka kukopesha kwa riba ya 25% kwa mwezi .. anaruhusiwa kufanya hivyo kisheria??
 
Tatizo si biashara gani ufanye, tatizo ni je?unajitambua?biashara yeyote inahitaji ujitambue,

mm mtu akinipigia simu bila kumwambia afanye nini tutajadiliana dunia ilivyo ,inakotoka inakokwenda ili achague mwenyewe atafanya nini rahisi kwake,

Onyo mtu asikwambie kuna kitu chepesi ktk mafanikio ,nakataa,tuendelee kujadiliana hapa ila ukitaka kunipigie iwe ni asubuhi saa 1-5,alafu usiiku 4-6,basi tujadi uko wapi na sasa unafanya nini na unataka nini bac,mm nikupe ushaur basi,.FINANCIAL FREEDOM CONSULTANT MBEYA 0652441607,Ni mtaalam wa vitafunwa kusuka nywele,mshauri wa wanaomiliki mahotel na staff wake na mengine mengi.
 
Tafuta mazao yoyote then uyageuze kuwa chakula

Eg mahindi unatengeneza sembe unapack kilo mojamoja unasambaza supermarket.

Mahindi unatengeneza popcorn kwa kutumia jiko la mkaa
 
Back
Top Bottom