Mtafiti Madini
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 101
- 35
Nunua asali kwa jumla lita 40 kwa kuanzia= sh.280,000, uza rejereja Utapata 400,000.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua asali kwa jumla lita 40 kwa kuanzia= sh.280,000, uza rejereja Utapata 400,000.
Nimependa jina lako mkuu " Mtafiti Madini" unatafiti madini yapi? Na Je hiyo asali inapatikana wapi?
Ndugu wanajamvi poleni na majukumu!!!Nahitaji kuanziasha biashara ila sijapata ramani hata kama nikulima am ready.Ningependelea wazo liwe litafit kwa mazingira ya DSM (kokote) au Morogoro ila huko nikwabiashara ya mwaka 1.
Nawasilisha
Usishawishi watu haya mambo yasiyo na maana. Ungekuta hii biashara inatoa mamilionea kirahisi hivyo tungeshajua.Ndugu wanajamvi poleni na majukumu!!!
Jamani hii "BIADHARA YA MTANDAO" iacheni hivi hivi. Kuna mada nyingi humu kuihusu lakini watu walizipondaaaa!!! na mm nikiwemoooo!!!!
Lakini sasa nimenyoosha mikonoooo!!! Wameshindaaaaa!!
Cha ajabu zaidi haijalishi Elimu, Jinsia, Maumbile n.k. Yeyote yule anafanyaaaaaa!!
Watanzania hivi tumepofushwa na nn hadi tusiione au hata tukiiona hatuielewiiiiii hii "FURSA"?????? Nashangazwa na vilio vya kutafuta ajira kila siku humu ndani wakati fursa za kujiajiri zipooooo!!!!!! Mara utasikia mm nina pHd sina ajira wakati wanafunzi wa mwaka wa 1 wanaingiza hadi mil 5 kwa mwezi katika hii biashara!!! Duuuuuuh!!!
Kuna watu zaidi ya mil 58 duniani wanafanya hii kitu na kufanya mauzo kati ya dola BILIONI 80 _ 110 Sawa na Tshs. TRILIONI 176 _ 242 kwa mwaka. HUKU NDIPO WANAPOKAA MABILIONEAAAAAAA!!!!
Hebu cheki hivi vidude vichache tu utakavyopata ukiwa mfanya hii Business!!!**
1. Mtaji mdogo unakufanya MILIONEA!!
2. Kipato kisicho na kikomo
3. Kujipatia kipato kikubwa kila mwezi.
4. Kupata nafasi ya kupata vipato vya njia
nyingi kama mapato ya timu, uongozi, gsri,
afari za kimataifa na gawio la faida na
mikutano ya viongozi.
5. Biashara yenye mafanikio isiyoumiza
kichwa,isiyohitaji kuajiri, kupangiwa masaa
ya kufanya kazi, mtaji mkubwa naelimu
kubwa. Ni biasharanzuri na iliyo nyepesi
6. Kumiliki biadhara yako na kuwa bosi wako
mwenyewe
7. Kupata nafasi ya kushirikiana na watu wenye
upendo, upeo na mawazo makubwa
8. Kupata nafasi ya kukua bila mipaka na
kutambulika
9. Kuwakilisha bidhaa za pekee na zenye ubora
wa hali ya juu.
10. Kufanya kazi kwa uwezo ulionao.
11. Kujinunulia gari ninalotaka.
12. Kujenga nyumba yenye thamani.
13. Kusaidia na kushirikisha wengine popote!!!
ATAKAYEHITAJI KUIFANYA AU MAELEZO ZAIDI
NI 0768577654 (sms/whatsapp)
Bodaboda sio ndugu. Bora ufungue banda la chips uswaziNunua bodaboda piga mzigo