Nahitaji kufanya biashara ya kuuza pumba

Mimi pia ningependa kujua faida ya biashara hii.Kuna mteja wa uhakika ananunua gunia kuanzia 16,000/- (kutegemea na ubora,kama ina chenga n.k) Tatizo nilitaka kuchukulia Manyara mpaka Dar ila tatizo gharama za usafiri hairudishi faida.Nifanyeje wakuu?
 
Kwa mnunuzi wa uhakika tuwasiliane PM, nafanya production ya Unga Dar na Retailers wa pumba wanasumbua kiasi na order za debe moja moja
 
Biashara ya pumba nzuri na kama itakua bahati kupata faida ya haraka basi umetoka.

Ila pia ni biashara ngumu hasa wakati wa mvua.

soko la uhakika ni kusafirisha moshi kwa hapa Dar ni viwandani hasa viwanda vinavyozalisha vyakula vya Kuku Na mambo mengine

Mara nying huuzwa kwa kilo itategemea pumba yako ipoje ubora wake

Na ubora wa pumba upo ktk mambo mawili
Pumba iliyo na chakula yan chenga ya pili pumba kavu iliyo kaushwa juani vizur hii ndio dili sokon haina mambo meng

Tosheka na hayo ....
 
Mkuu Mimi nipo moshi nilikuwa nataka kuanza hii biashara, tatzo nakosa soko lake, nianzie wapi mkuu?

Nina mtu ambaye yupo Mwanza so uhakika wa kutumiwa mzigo ni 100%
Nataka kuanza kuuza dagaa chakula cha Kuku na pumba

Ushauri wako mkuu
 
Kwa nn unasema ni ngumu wakati wa mvua mkuu ni kwamba wateja hamna kwa kipindi hicho au vipi?
 
Me huwa nafanya kazi mashine za nafaka (kukoboa na kusaga mahindi) Kuna Jamaa wananunuaga Hadi gunia 200 wanakuja kuuza Moshi na Arusha Sasa wewe unakosaje soko wakati upo kwenye masoko.
Mkuu Mimi nipo moshi nilikuwa nataka kuanza hii biashara, tatzo nakosa soko lake, nianzie wapi mkuu?

Nina mtu ambaye yupo Mwanza so uhakika wa kutumiwa mzigo ni 100%
Nataka kuanza kuuza dagaa chakula cha Kuku na pumba

Ushauri wako mkuu
 
Mimi pia ningependa kujua faida ya biashara hii.Kuna mteja wa uhakika ananunua gunia kuanzia 16,000/- (kutegemea na ubora,kama ina chenga n.k) Tatizo nilitaka kuchukulia Manyara mpaka Dar ila tatizo gharama za usafiri hairudishi faida.Nifanyeje wakuu?
Manyara Sehemu Gani? Na wanauzaje?
 
Kama unataka biashara ya pumba soko la uhakika ni Arusha,mosh na kenya. Uku kamwingine ni kwa kupuyanga tu. Arusha angalau wananunua kwa kilo na kwa sasa wako kwenye 400 had 450.

Kama unalenga kufuata songea pumba kwa mwez huu huwezi kupata faida. Songea gunia la debe 10 pumba kavu kwa sasa hv 22,000 had 23,000 na haipo huwezi kupata mzgo haraka. Hizo Bei ni za songea mjin
 
Back
Top Bottom