Nahitaji kufanya waxing

Nahitaji kufanya waxing

solidgirl

Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
33
Reaction score
18
Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kamsaada kuhusu kushave pubic hairs napata complications Nyingi sana Kushave hayo maeneo na nikitoka hapo si vipele na vijipu fulani hivi vinavotoa shoo.

Lakini napata ushauri kutoka kwa watu kuwa nifanye waxing lakini siwezi kufanya bikini waxing shemeji yenu kwa hakika atatoa talaka. Naomba kuelekezwa wapi naweza kupata hivyo vifaa kwa ajili ya kuafanyia hiyo waxing etc

Msaada naomba
 
nimepita kapa kwa kweli

msaada plz kutofautisha kushave pubic hair, waxing, na bikini waxing
 
Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kamsaada kuhusu kushave pubic hairs napata complications Nyingi sana Kushave hayo maeneo na nikitoka hapo si vipele na vijipu fulani hivi vinavotoa shoo. lakini napata ushauri kutoka kwa watu kuwa nifanye waxing lakini siwezi kufanya bikini waxing shemeji yenu kwa hakika atatoa talaka. Msaada naomba kuelekezwa wapi naweza kupata hivyo vifaa kwa ajili ya kuafanyia hiyo waxing etc

Tafuta wax........waxing strips........heat hiyo wax kwenye proper heat........chukua spatula......apply.........pull against the hair.........ushauri zaidi.......GOOGLE........au.......YOUTUBE........

ok bye......
 
Nenda pharmacy kubwa au maduka ya vipozi wanauza hivyo vifaa. Unaweza kuingia youtube kuangalia jinsi wanavyofanya au hapo unaponunulia wakupe maelekezoz

Kama huna haraka unaweza kuagiza kwenye mtandao. Nilishawahi kuagiza set nzima huko.
 
Back
Top Bottom