solidgirl
Member
- Aug 9, 2014
- 33
- 18
Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kamsaada kuhusu kushave pubic hairs napata complications Nyingi sana Kushave hayo maeneo na nikitoka hapo si vipele na vijipu fulani hivi vinavotoa shoo.
Lakini napata ushauri kutoka kwa watu kuwa nifanye waxing lakini siwezi kufanya bikini waxing shemeji yenu kwa hakika atatoa talaka. Naomba kuelekezwa wapi naweza kupata hivyo vifaa kwa ajili ya kuafanyia hiyo waxing etc
Msaada naomba