Nahitaji kufundishwa machine learning, artificial intelligence/robotics

Nahitaji kufundishwa machine learning, artificial intelligence/robotics

Hello Wakuu.

Napenda kujifunza sana kuhusu technology especially ktk maeneo hayo

Machine learning, Artificial intelligence, Deep learning, Robotics etc.

Njoo tukubaliane, nifundishe kwa makubaliano..
Upo mkoa gani?
 
Why data science kwa bongo?

Hii inahitajika karibia kila taasisi iwe ya kifedha, kiafya, mawasiliano n.k.

Kwa sababu hizo biashara zinaendeshwa kwa data. Kuna algorithm nyingi zinazosaidia kugundua endapo kuna tatizo linalopelekea biashara hizo kufail.

Data science Ina visualize taaarifa kwa ku uwianisha data kwa data kupata taarifa husika/iliyolengwa.

Mfano kampuni ya simu wana wateja lakini kuna wateja ambao hawanunui vifurushi ndani ya muda fulani na wateja wa aina hiyo uonekana kama wamepotea kwenye huduma na wakati huo huo kuna wateja ambao ni active ambao ununua zaidi huduma , wakati huo huo wateja wanaonunua huduma hugawanywa kulingana na huduma na ndio maana ukiwa mnunuaji wa dakika basi kuna promo za dk zitakifuata sana, ukiwa unanunua bando promo za bando zitakufuata, mteja ambaye ananunua zaidi upewa ofa zaidi ili aendelee kubaki kwenye huduma kuliko asiye nunua kabisa.

Hivyo kampuni za simu wanakuwa na taarifa zao katika namna inayodetect wateja wa aina hiyo so kinachofanyika

Ni uungwaji wa model kwa ajili ya maswala hayo na hapo kuna algorithm nyingi Zinazonsaidia.

So nasema data science kwa Tanzania inahitajika kwa sababu hakuna nchi inayoshindwa kuwa na wataalamu hao. Ila ni rahisi kukosa wataalamu wa robotics n.k kwa sababu ya gharama na ya vifaa n.k
 
Hello Wakuu.

Napenda kujifunza sana kuhusu technology especially ktk maeneo hayo

Machine learning, Artificial intelligence, Deep learning, Robotics etc.

Njoo tukubaliane, nifundishe kwa makubaliano..
Mh! Will you be able to apply them in TZ au malengo yako ni globaly.
Soko lake lipoje ?
Usijejikuta unavhezea toys tu nyumbani zinakufurahisha mwenyewe. Hibi nyumbani TZ unaweza kupata infrastructure za kumdizaini robot mwanzo mwisho na uweze kumtumia kwa kazi zako ? Au ndio watu wanaishia kwenye duino! Kisha wanakua bored.
 
Download app inaitwa Udemy. Tengeneza account huko tafuta course unayopenda na ufundishwe na wabobezi katika fani unayotaka.
Make sure unaweza kununua vitu mtandaoni kwa kutumia visa au MasterCard ,nakushauri utengeneze virtual card ya visa/mastercard kupitia line yako ya simu say vodacom kwa mfano, kwani ukishapata course ya kusoma utatakiwa kulipia kwa njia ya mtandao(Online payment).. then dunia ni yako
All the Best!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UDEMY FREE 4 U & EDUONIX | Udacity | EDX | Coursera Kama uchumi hauruhusu atumie hilo group la telegram huwa una access kozi for free
 
Hello Wakuu.

Napenda kujifunza sana kuhusu technology especially ktk maeneo hayo

Machine learning, Artificial intelligence, Deep learning, Robotics etc.

Njoo tukubaliane, nifundishe kwa makubaliano..
Mkuu artficial intelligence ndani yake ndio kuna machine learning ndani
ya machine learning kuna deep learning ukiingia ndani unakutana na data science..
Nadhani ungesema unataka kusoma in and out ya artficial intelligence na robotics..
Kwa kuanzia ili atleast ukianza kuisoma usipate shida pitia statistics, probability, algebra, calculas
for artificial intelligence au computer science tafta vitabu vimejaa online ukihitaji pia naweza kupatia.
Ukishazielewa hizo topic ni rahisi kwakwo kuilewa AI vizuri bila changamoto.
Kama kuna changamoto endelea kuuliza kwa wadau hope utapata msaada japo hujaelezea una level gani katika
industry ya IT ushawahi kufanya coding au bado ili ushauri uwe relevant na mhusika.
Kuhusu robotics nitakupa ushauri siku nyingine kama ushauri wangu wa awali utakusaidia.
Kama utakuwa na changamoto usisite kuulza industry ya IT sio ya watu wa choyo naamin utasaidiwa.
 
Back
Top Bottom