Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo mkoa gani?Hello Wakuu.
Napenda kujifunza sana kuhusu technology especially ktk maeneo hayo
Machine learning, Artificial intelligence, Deep learning, Robotics etc.
Njoo tukubaliane, nifundishe kwa makubaliano..
Kama utalipa nitakupa concept na practical, at the you'll be able to train your dataset and build model,Hello Wakuu.
Napenda kujifunza sana kuhusu technology especially ktk maeneo hayo...
Why data science kwa bongo?Kama utalipa nitakupa concept na practical, at the you'll be able to train your dataset and build model,
Kwa bongoland jikite on data science
Demand kwa Tz au dunia nzima?Vitu viwili tu, PYTHON & TENSORFLOW tuna demand kubwa sana ya hawa watu sijui tutawatoa wapi
kaka karibu kwenye hub ya tech in tanzania humu utawakuta hawa watu wote htpps://social.opentechtz.orgVitu viwili tu, PYTHON & TENSORFLOW tuna demand kubwa sana ya hawa watu sijui tutawatoa wapi
Why data science kwa bongo?
Mh! Will you be able to apply them in TZ au malengo yako ni globaly.Hello Wakuu.
Napenda kujifunza sana kuhusu technology especially ktk maeneo hayo
Machine learning, Artificial intelligence, Deep learning, Robotics etc.
Njoo tukubaliane, nifundishe kwa makubaliano..
UDEMY FREE 4 U & EDUONIX | Udacity | EDX | Coursera Kama uchumi hauruhusu atumie hilo group la telegram huwa una access kozi for freeDownload app inaitwa Udemy. Tengeneza account huko tafuta course unayopenda na ufundishwe na wabobezi katika fani unayotaka.
Make sure unaweza kununua vitu mtandaoni kwa kutumia visa au MasterCard ,nakushauri utengeneze virtual card ya visa/mastercard kupitia line yako ya simu say vodacom kwa mfano, kwani ukishapata course ya kusoma utatakiwa kulipia kwa njia ya mtandao(Online payment).. then dunia ni yako
All the Best!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu artficial intelligence ndani yake ndio kuna machine learning ndaniHello Wakuu.
Napenda kujifunza sana kuhusu technology especially ktk maeneo hayo
Machine learning, Artificial intelligence, Deep learning, Robotics etc.
Njoo tukubaliane, nifundishe kwa makubaliano..