Nahitaji kufundishwa mapishi

Nahitaji kufundishwa mapishi

ustadhijuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
3,021
Reaction score
1,978
salamu kwenu ndugu zangu wana jf!!
naomba kujuzwa sehemu ambazo naweza kujifunza mapishi bure au kwa gharama nafuu au kama kuna mtu yuko ready kujitolea nitashukuru sana na nitamuombea duaa!!
napenda sana kujua kupika
 
kama unajua sehemu yeyote wanayofundisha mapishi kwa dar es salaam naomba mnielekeze
 
Ukitaka ata namna ya upishi wa maji utaupata . . .tumia YouTube kuna mafunzo mengi ya upishi

Bando lako tu
 
Ulitaka kujua mapishi gani mkuu au general
 
Ulitaka kujua mapishi gani mkuu au general
Mkuu mi nataka kujua general au hata kama nitapata mtu au sehemu yakujifunza ambayo watanifundisha kwa mapishi maalumu tu pia Niko tayar
 
Ukitaka ata namna ya upishi wa maji utaupata . . .tumia YouTube kuna mafunzo mengi ya upishi

Bando lako tu
Mkuu nimejitahidi kutumia you tube lakini matokeo ya upishi wangu hayaji vizuri
 
Nenda fb page imeandikwa Tz cooking club,na nyingine mapishi rahisi na fasta. Ukitaka kulipia nenda insta page ya Tollykitchen but ukifatilia Tu izo page za fb utaelewa.

Sent from mTalk
 
wapishi gani nyinyi hamtaki hata kufundisha wenzenu uchoyo tu umewazidi
 
salamu kwenu ndugu zangu wana jf!!
naomba kujuzwa sehemu ambazo naweza kujifunza mapishi bure au kwa gharama nafuu au kama kuna mtu yuko ready kujitolea nitashukuru sana na nitamuombea duaa!!
napenda sana kujua kupika
kwnza upishi ni kuweza kusoma na kuandika,pili kujua ingredients,kwa kuziona na matumizi yake,tatu kufuata vipimo na maelekezo yaliyowekwa,mwisho upishi ni sawa na kusema chakula,kuna muhogo,kuna brioche,kuna paella,kuna saltimbocca,kuwa pirozkhi,kuna makande,kuna marinara,kuna rissoto kuna pilau and many more,upishi una makundi,pastry,gardmange,entremetier,saucier,butcher,breakfast ,pia upishi una utaifa,unataka upishi wa taifa lipi?unataka kwa matumizi yako nyumbani au kwa kuajiriwa?me naweza kukufundisha am a chef tena bureee!kama una mdogo wako wa kike ntaoa mke wa pili tu inatosha!
 
Mkuu sasa hivi kila kitu ni pesa naomba unifundishe kwa kuajiriwa ili hata siku likitokea lakutokea chuoni nakimbilia kuajiriwa kama mpishi pia nikijua mapishi yakuajiriwa nadhani hata ya nyumbani hayatanishinda
 
salamu kwenu ndugu zangu wana jf!!
naomba kujuzwa sehemu ambazo naweza kujifunza mapishi bure au kwa gharama nafuu au kama kuna mtu yuko ready kujitolea nitashukuru sana na nitamuombea duaa!!
napenda sana kujua kupika

Ntakufundisha kupika chai, kukata kachumbali na kukaanga mayai
 
Unapenda mapishi ya aina gani wapishi wazuri ni hahindi na wazenj maana vya kula vyao vinafanana
 
Unapenda mapishi ya aina gani wapishi wazuri ni hahindi na wazenj maana vya kula vyao vinafanana
Acha uongo kuhusu mapishi,nani kakuambia wahindi wana mapishi mazuri?au unaona yale marangi yanakuchanganya?wapishi wazuri ni wafaransa ndio waanzilishi,then kuna waaustralia na hata wa sauz wanajitahidi sana wanachanganya modern na local cuisine!
 
uko wapi?ili nkutaftie sehemu uwe unafundishwa hotelini kabisa unaona vitu practically!
nimekujibu kwa PM Mkuu!! Tafadhali soma PM yangu nimeandika location yangu Mkuu!!
shukrani sana mkuu
 
Back
Top Bottom