Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo Tanzania, mwenye kujua taratibu za kuishtaki kampuni tafadhali anipe muongozo

Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo Tanzania, mwenye kujua taratibu za kuishtaki kampuni tafadhali anipe muongozo

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,118
Reaction score
1,797
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza

Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua

Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20

Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato
 
Mtafute mwanasheria popote,atakupa Cha kufanya!
 
Kwa hiyo ni wajinga kiasi hicho?
Yaani jana mil 20 imeenda,leo unataka kushitaki!
1. Wana customer care. Wamekujibu nini?
2. Wana office: umeenda ukaambiwa nini?
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Peleka malalamiko ofisi za Tigo kwanza, usiporidhika nenda TCRA, usiporidhika nenda Fair Competition Tribunal ambayo uamuzi wake utakua ni final
 
Back
Top Bottom