Wanefanya nini tuambie huenda unataka komentiKama kichwa cha habar hapo juu kinavyojieleza
Nahitaji kuishtak kampuni ya tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua..
Mtafute mwanasheria popote,atakupa Cha kufanya!Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza
Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua
Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20
Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato