dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,423
- 1,987
Mkuu,Nitumie email address yako nikutumie the total budget
Nami nitumie huo mchanganuo tafahali,
dalalitz@yahoo.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,Nitumie email address yako nikutumie the total budget
Halafu kwenye TIGHT BUDGET kama hiyo, ni vizuri tuwe na tabia ya kununua vifaa vya ujenzi sisi wenyewe, tuache "utajiri" wa kuwapa mafundi fedha wakanunue vifaa. Wacha kabisa tabia hiyo!Wakati mwingine unaweza ukaona ni rahisi lakini ukiingia site gharama zinabadilika sana.
Kuna vitu kadhaa ambavyo vinapandisha gharama kama vile eneo unalojenga ni tambarare au mlimani. Hapa naongelea gharama za foundation na nguzo.
Umbali was sehemu unapochukulia material na bei ya material.
Kikubwa cha kuzingatia uwe na Fundi mzuri na asikosee kukupigia mahesabu ya vifaa
Hata sijui imetumia sh ngapi mambo mengi nimefanya mwenyeweHii ni kwa milioni saba?
Unamaanisha nini?Hata sijui imetumia sh ngapi mambo mengi nimefanya mwenyewe
Yani nimejenga mwenyewe nilinunua matofari.namchanga kwahiyo nikiwa na cement tano naenda kujenga sasa kuanza mchanganuo naona haina hajaUnamaanisha nini?
Yaan wewe ndo fundi mwenyewe?Yani nimejenga mwenyewe nilinunua matofari.namchanga kwahiyo nikiwa na cement tano naenda kujenga sasa kuanza mchanganuo naona haina haja
Ndio nduguYaan wewe ndo fundi mwenyewe?
Hapo sawa, ukiwa fundi unaenjoy Sana, unaweza hata jenga kwa m 2 tu[emoji28][emoji1787][emoji1787] ( joke mkuuNdio ndugu
Kujenga a,k.a kuzika hela ardhini sio lelemama[emoji848]Lakini kusema kweli ujenzi ni mgumu hasa kama unakipato kidogo ndomana watu wengi.wanaotegemea kuanza ujenzi na fungu maalum wakipigiwa hesabu zajumla wengi hujikuta wanaona bora aanze kununua gari maana gharama zakununua gari zinafahamika ila nyumba ningumu kupata makadirio labda upige makadirio yajuu ushauri wangu hasa kwavijana wengi tunakwama hasa kwakukosea kupanga vipaumbele binafsi naona kijana bora ujenge kwanza hata kama vyumba viwili maana binafsi naona mfumo wetu waajira sio wauhakika hasa kwenye sekta binafsi.mlioajiliwa mnajua yanayowatokea huko maofsini jengeni ndugu zangu jenga.hata kimoja ukipata fungu lauhakika utajenga nyumba unayotaka mnaoamua kusomesha wachumba kwanza chaguo ni lenu kama umesoma ujumbe huu kwashida ukaelewa mwandiko niachie mwenyewe
Sio mchezo inataka moyoKujenga a,k.a kuzika hela ardhini sio lelemama[emoji848]
Kama ingekuwa sijengi mwenyewe sidhani kama ingekuwa imefika hapo.nashukuru mungu walau kwa huu ujuzi mdogo maana mafundi wengi kazi wanaozofanya mungu tu ndoanajuHapo sawa, ukiwa fundi unaenjoy Sana, unaweza hata jenga kwa m 2 tu[emoji28][emoji1787][emoji1787] ( joke mkuu
Hongera mkuuKama ingekuwa sijengi mwenyewe sidhani kama ingekuwa imefika hapo.nashukuru mungu walau kwa huu ujuzi mdogo maana mafundi wengi kazi wanaozofanya mungu tu ndoanaju
Sure, ila katika yote wanaotaka kuanza kujenga wajue ujenzi sio lelemama.Kuna vya kujofunza hapa
Mpaka sasa umefikisha ngapi Econometricianngoja nami nijichange laizima nitimize lengo langu la kujenga nyumba ya milioni 150 kabla ya 2025!
Fanya tuone picha mkuu..maana kuna namna kwa ujenzi wa goba 15M ujenge room tatu, upaue na kuchimba choo mmh sijui ni nyumba ya standards gani unaongelea fanya tuone picha tafadhali.Hongera sana.
Nimejenga Goba room tatu mbili master, jiko sebule baraza mbili, shimo la choo nimefunika.
Nimepaua nyumba tayari.
Hadi hapo million 15
Wewe kweli mafundi unawajuaSure, ila katika yote wanaotaka kuanza kujenga wajue ujenzi sio lelemama.
Fundi akikuambia andaa milioni 4 wewe andaa 6M ili uwe safe side. Mbali na hapo utaumbuka.