King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
canter tani 3 hadi 4.Kokoto ya wap hyo laki na 30,, kwenye fuso au canter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
canter tani 3 hadi 4.Kokoto ya wap hyo laki na 30,, kwenye fuso au canter
Nimeassume vyumba vitatu ni roughly tofali 1000 zilizobaki 800 ni sebule,jiko,choo,stoo etcMkuu tofali fafanua kidogo
inavyumba vingap mkuu?Iyo itatosha kujenga 1 master na sitting room na jiko la kiskaji kama hiiView attachment 813237
Cheki iyo picha ina maelezoinavyumba vingap mkuu?
Mkuu nimekuelewa snaaNimeassume vyumba vitatu ni roughly tofali 1000 zilizobaki 800 ni sebule,jiko,choo,stoo etc
-Tofali nzima za ujenzi 1500
-Zilizobaki 300 kama vipande maana yake utagawa mara mbili itaenda 600
So jumla ya 1500 + 600 = 2100
Kujenga tofali moja roughly 250 - 400 Average 300
Ufundi 2100 x 300 = 630,000/=
Umetumia Bati ngapi?Iyo itatosha kujenga 1 master na sitting room na jiko la kiskaji kama hiiView attachment 813237
Tofali 1000Umetumia Bati ngapi?
Mbao je 4x2 na 2x2 ngapi?
Tofali ngapi?
Size ya Nyumba ngapi kwa ngapi? eg 6m kwa 7m?
Nipo kibaha nitafte nitakushauri bure bila gharama yoyoteWakuu nimejichanga nimefanikiwa kukusanya miilliomn 7 , nna kiwanja kibaha ,naomba ushaur kwa million 7 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu ,choo na sebule. mwenye mwazo ya bajeti hii na aina ya nyumba naomben mtazamo wenu.
Nyumba ina sqm ngapi?Tofali 1000
Mbao 2×4 = 50
2×2 = 60
Bati 38
Duh!Kokoto ya wap hyo laki na 30,, kwenye fuso au canter
Nimeassume vyumba vitatu ni roughly tofali 1000 zilizobaki 800 ni sebule,jiko,choo,stoo etc
-Tofali nzima za ujenzi 1500
-Zilizobaki 300 kama vipande maana yake utagawa mara mbili itaenda 600
So jumla ya 1500 + 600 = 2100
Kujenga tofali moja roughly 250 - 400 Average 300
Ufundi 2100 x 300 = 630,000/=
Nimetumia 12M kujenga 2 rooms moja ikiwa master, public toilet, jiko na sebule lakini nimeishia kuweka bati, milango na madirisha Mkuu. Unaweza kupata picha hapo
mkuu karamani basi, kwa ndani, ivi ukaongeza na vyumba viwili inafika 10 mllTofali 1000
Mbao 2×4 = 50
2×2 = 60
Bati 38
Ni Kubwa zile za Block zinatosha kwa vyumba vitatu maana vyumba viwili vitashare ukuta.(Kuta mbili zitakufa)Mkuu, tofali 1000 siyo chache sana hizo! Au ni blocks?
Kwa kuongeza vyumba sijajua gharama yake itakua kiasi gani.. maana mm nilitaka geto la kuanzia maishamkuu karamani basi, kwa ndani, ivi ukaongeza na vyumba viwili inafika 10 mll