Nahitaji kujifunza kuongea Kiingereza kwa mtiririko mzuri

Nahitaji kujifunza kuongea Kiingereza kwa mtiririko mzuri

Kuna Ile series ya comedy ya jamaa kutoka nchi mbalimbali wamekutana darasani kujifunza English. itakufaa sana kwa kuanzia.

mimi huwa nasikiliza na kusoma vitu vya kiingereza 70%. imesaidia Kwa kiwango flani
 
US embassy na British High Commission wanazo Hiyo programme


 
Unakuta kiingereza unakijua vizuri ila tatizo unataka kuongea haraka haraka ili watu wakuone kama unajua au msomi.

Mwisho wa siku unabuma.

Ongea taratibu ili kuyapa nafasi maneno mengine yajilete kwenye ubongo wako.

Bila ya hivyo, kila siku utaonekana kilaza wa kingeli.
 
Kama umefika hadi Chuo Kikuu; anza na tense, then parts of speech. Ukimaliza na kuzi-master vizuri, then rudi tuendelee na mambo mengine.
 
Link za kwenye online hazitakusadia sana...

Jiachanganye na wale wenye kuongea kingereza masaa yote, nawe kazana humo humo... utakuja kunishukuru...



Cc: mahondaw
 
Ingia google hapo search Bitgab, ni moja ya platform yakujifunzia English
 
Imba nyimbo za English achana na kina domo na kiba au visingeli. Watch Hollywood movies kwa sana na subtitles juu......then utaleta mrejesho utakua kama ulisaliwa uingereza...
 
gharama za kukwepa kusoma english medium mbeleni huwa kubwa kupindukia
vitoto vya chekechea vya english medium vinaongea kingereza cha uhakika humu watu wazima wanahaha!!! wazazi pelekeni watoto english medium


Elimu ya ccm haifai hadi tuwapeleke medium.
 
Join English club, and don't hesitate to pay for learning this valuable language.
Excellence Tundu Lissu has sparked the agenda
 
gharama za kukwepa kusoma english medium mbeleni huwa kubwa kupindukia
vitoto vya chekechea vya english medium vinaongea kingereza cha uhakika humu watu wazima wanahaha!!! wazazi pelekeni watoto english medium
It may sound harsh but you said the trueth. However, recorgnizing that someone need to improve his English is one step ahead towards the better tomorrow.
 
Nitoe ushauri kwako mleta mada na kwa wote wanaopenda kujifunza kuongea kiingereza kwa mtiririko mzuri.

When you want to speak, jaribu ku pronounce maneno slowly!

Yaani usitumie haraka.. Wengi wanataka waongee haraka haraka hata kabla hajaweza kuimaster vizuri lugha yenyewe ili tu aonekane anajua.

Hapo ndio watu wengi wanapoharibu!

Nenda taratibu. Hii inasaidia kuupa ubongo muda zaidi wa kutengeneza maneno mapya.. Sasa ukienda haraka mwishowe unajikuta unakwama!

Hii ni moja kati ya principles za kuongea kiingereza kwa mtiririko mzuri na ni muhimu sana japo wengi huwa hawalizingatii hili.
 
Back
Top Bottom